Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu waula ngumi za kulipwa

Watanzania watatu wameteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Shirikisho la Ngumi za Kulipwa la Afrika Mashariki na Kati (ECAPBA) uteuzi uliofanyika kwenye kikao cha mabadiliko cha ECAPBA kilichofanyika hivi karibuni jijini Kigali nchini Rwanda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII

Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kushoto akiwaelekeza baadhi ya marefarii waliojitokeza katika mafunzo hayo yaliyo andaliwa na chama cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala CCM Dar es salaam juzi na kumalizika jumamosi  hii Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kulia akisisitiza jambo kwa wakati wa mafunzo hayo uku marefarii waliojitokeza wakimsikiliza kwa makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro, Sako Mtlya na...

 

10 years ago

Michuzi

IBF Africa, Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred waandaa ngumi za kulipwa kuchangia albino

Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) na kampuni ya Kango wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa kwa kushirikisha mabondia nyota duniani.Mapmbano hayo yamepangwa kufanyika Novemba 28 kwenye ukumbi wa Mlimani City na lengo lake kubwa ni kutafuta fedha za kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).Rais wa IBF Africa, Onesmo Ngowi alisema kuwa siku hiyo imepewa jina la  “knock out albinos...

 

11 years ago

GPL

HAFRA FUPI YA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA TANZANIA KWA AJILI YA KUHAMASISHA MCHEZO WA NGUMI KWA VIJANA TANZANIA

Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa wa ngumi za Ridhaa pamoja na wadau wengine wa mchezo huo katika Picha ya pamoja, wakati wa hafra hiyo.

Aliyesimama kushoto ni mkurugenzi wa Afrika Mashariki kupitia kinywaji cha Battery Bwana Tony Misokia akiwa anaongea na wananchi walioshiriki katika Hafra hiyo.…

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi waula Kamati ya Stars

KAMATI mpya ya kusaidia timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ ilijitambulisha rasmi jana mbele ya vyombo vya habari, huku ikitangaza kuteua kamati nne ndogo kwa ajili ya kuhakikisha inasimamia ipasavyo mikakati mbalimbali ya ushindi, ikianzia katika mchezo ujao dhidi ya Algeria.

 

11 years ago

Mwananchi

Waula promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’

Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeshazawadia wateja wake zaidi ya sh 40milioni katika promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ yenye lengo la kuwazawadia wateja wake na kuongeza chachu ya soka nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania saba waula CAF

WATANZANIA saba wameula baada ya kuteuliwa kwenye kamati mbalimbali za Shirikisho la Soka Afrika, (CAF). Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Shirikisho la Soka Tanznia (TFF), uteuzi huo ulifanyika kwenye kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF kilichokutana mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Cairo, Misri.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Huviza, Ole-Medeye waula bungeni

MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Goodluck ole-Medeye (CCM) na Mbunge wa Viti Maalum, Dk Terezya Huviza (CCM) jana walichaguliwa kuwakilisha Bunge katika taasisi mbili tofauti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kinje, Gumbo, Kessy waula Shelisheli

WANASOKA watatu wa Tanzania wameombewa hati za uhamisho wa kimataifa (ITC), na Shirikisho la Soka la Shelisheli (SFF), ili waweze kucheza katika klabu ya La Passe FC ya nchini humo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani