Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waula promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’

Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeshazawadia wateja wake zaidi ya sh 40milioni katika promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ yenye lengo la kuwazawadia wateja wake na kuongeza chachu ya soka nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Washindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa waipongeza Airtel

 Afisa Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (wa pili kushoto) akiongelea umuhimu wa promosheni ya Mimi ni Bingwa muda mfupi baada ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa baadhi ya washindi wa promosheni hiyo (waliopo pichani). Kushoto ni Bw. Ramdhani Wefa, Kulia ni Philemon Nathaniel Mgaya akifuatiwa na Bw. Msemwa Makuzi ambaye pia ni mshindi wa tiketi na wote wakiwa wanatokea Dar es salaam. Afisa Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia) akikabidhi kitita cha shilingi...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi  wa Promosheni  ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini. Meneja Masoko  wa Airtel , Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi  wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu ashinda kwenye promosheni ya Airtel Tanzania Mimi ni Bingwa

Afisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishini mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
---------------------------- MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya anakila sababu...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU ASHINDA KWENYE PROMOSHENI YA AIRTEL TANZANIA MIMI NI BINGWA‏

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP)...

 

11 years ago

Michuzi

MWANZA NA MBEYA WAULA NA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mshindi wa Samsung Galaxy tab3 kutoka Tunduma Mbeya Vedastus Kalinga akionesha zawadi yake mara baada ya kukabidhiwa mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti kanda ya kusini Lumuli Msika(kushoto)akimpongeza mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Julius Chao kutoka Mbeya mara baada ya kumkabidhi king'amuzi katika hafla fupi iliyofanyika jijini Mbeya.  Meneje Masoko wa eneo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Charles...

 

11 years ago

TheCitizen

‘Mimi ni Bingwa’ winners leave for Old Trafford

The first batch of Airtel Mimi ni Bingwa promotion ticket winners yesterday left for a lifetime fully paid trip to Old Trafford.

 

11 years ago

Mwananchi

IGP mstaafu ashinda ‘Mimi Bingwa’

>Mkuu wa Polisi (IGP) mstaafu,  Philemon Mgaya ameibuka mshindi wa Sh5 milioni  za Airtel Tanzania kwenye promosheni ya Mimi ni Bingwa, zinazotolewa kila wiki.

 

11 years ago

Michuzi

Milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ kutolewa Ijumaa

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde alisema droo hiyo itakayobadilisha maisha ya mtu, imepangwa kuchezeshwa katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
"Baada ya miezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Washindi Mimi ni Bingwa wakabidhiwa vitita vyao

KAMPUNI ya Airtel Tanzania, juzi imewakabidhi zawadi za fedha kwa wateja wake walioibuka washindi kupitia promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ wiki hii ambapo kila mmoja ameondoka na kitita cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani