Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP mstaafu ashinda ‘Mimi Bingwa’

>Mkuu wa Polisi (IGP) mstaafu,  Philemon Mgaya ameibuka mshindi wa Sh5 milioni  za Airtel Tanzania kwenye promosheni ya Mimi ni Bingwa, zinazotolewa kila wiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu ashinda kwenye promosheni ya Airtel Tanzania Mimi ni Bingwa

Afisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishini mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
---------------------------- MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya anakila sababu...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU ASHINDA KWENYE PROMOSHENI YA AIRTEL TANZANIA MIMI NI BINGWA‏

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP)...

 

11 years ago

Michuzi

Mkazi wa Bukoba ashinda milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’

 Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ iliyochezeshwa Jumanne jioni katika ofisi za makao makuu ya Airtel. Bw. Rashid Jackob Kagombola, mkazi wa Bukoba  mkoani Kagera alitangazwa mshindi wa shilingi milioni 50. Kushoto ni Mkaguzi mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania Bw. Bakari Maggid. Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akimwonyesha Mkaguzi...

 

11 years ago

TheCitizen

Retired IGP wins Sh5 million in Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ promo

Retired Inspector General of Police (IGP) Philemon Nathaniel Mgaya has all reasons to rejoice after winning Sh5 million in Airtel Tanzania’s ‘Mimi ni Bingwa’ promotion. This comes just a few weeks away from the mega prize draw in which the winner will walk away with Sh50 million.

 

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

11 years ago

Mwananchi

Waula promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’

Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeshazawadia wateja wake zaidi ya sh 40milioni katika promosheni yake ya ‘Mimi ni Bingwa’ yenye lengo la kuwazawadia wateja wake na kuongeza chachu ya soka nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri mstaafu ashinda shindano la Mengi

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ameibuka mshindi katika shindano la Mawazo ya Ubunifu katika Kujiinua Kiuchumi, lililoanzishwa na Mwenyekiti wa IPP Media, Reginald Mengi, lijulikanalo kama Tweet na Mengi.

 

10 years ago

Michuzi

IGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa pamoja na IGP mstaafu Mzee Philemon Mgaya wakati wa sherehe hiyo iliyofana sana iliyofanyika katika Hotel ya Protea Court Yard jijini Dar es Salaam.IGP Mstaafu Mzee Philemon Mgaya akipokea zawadi
IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akikata keki huku amezungukwa na wajukuu wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

TheCitizen

‘Mimi ni Bingwa’ winners leave for Old Trafford

The first batch of Airtel Mimi ni Bingwa promotion ticket winners yesterday left for a lifetime fully paid trip to Old Trafford.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani