Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IGP MSTAAFU PHILEMONI MGAYA ASHEREHEKEA MIAKA 85 YA KUZALIWA

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa pamoja na IGP mstaafu Mzee Philemon Mgaya wakati wa sherehe hiyo iliyofana sana iliyofanyika katika Hotel ya Protea Court Yard jijini Dar es Salaam.IGP Mstaafu Mzee Philemon Mgaya akipokea zawadi
IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akikata keki huku amezungukwa na wajukuu wake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

IGP Mstaafu Philemoni Mgaya asherehekea miaka 85 ya kuzaliwa kwake huku Waziri Mkuu mstaafu Msuya akiwaasa watanzania

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania  kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania.

Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea , Court Yard jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya wakati wa utumishi wake serikalini...

 

9 years ago

Michuzi

Profesa Mark Mwandosya asherehekea kufikisha miaka 66 ya kuzaliwa kwake

Leo tarehe 28 Desemba, Profesa Mark Mwandosya amesherehekea kufikisha miaka 66 tangu kuzaliwa. Amesherehekea sikukuu yake hiyo akiwa kijijini kwake Lufilyo, Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Anamshukuru Mwenyezi Mungu na Watanzania wenzake kwa baraka anazoendelea kupata. Profesa Mark Mwandosya  akiwa akijiandaa kukata keki ya asili pamoja na maandazi wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba, akiwa pamoja na ndugu zake ambao walimtayarishia keki hiyo.Profesa...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA MINNE (4) ASHEREHEKEA BESDEI YAKE YA KUZALIWA MLIMA KILIMANJARO

Mtoto Aldof Isack (4)akikata keki wakati wa sherehe ya kumbukumbu yasiku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika kilele cha Shira Mlima Kilimanjaro ,Kilele chenye urefu wa mita 3,850 ambazo ni sawa na futi 12,630.aliyepiga magoti ni mama wa mtoto huyo Jackline Mchila na nyuma ya mtoto ni dada yake,Feith Isack huku baba yao kushoto akiwa ameshikachupa ya Champagne
Baba wa mtoto Adolf Isack,Bw Isack Kalage akifungua Champagne wakati wa shrehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wake huyo...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA REGINA LOWASSA ASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE LEO

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam. Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea. Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo. Watoto wa Mh. Edward na Mama...

 

9 years ago

Michuzi

HEPI BETHDEI YA KUZALIWA MTOTO Nasria Salum Mgaya

 Mtoto Nasria Salum Mgaya akiwa kabebwa na baba yake. Katikati ni mama yake na kushoto ni mama yake mdogo Farashuu Tozzo. Nasria akiwa katika matukio tofauti pamoja na ma mdogo Farashuu,chini yake ni ma mdogo rehema,na kulia nasria akizima mshumaa. Nasria akifanya mpango wa kukata keki yake mwenyewe

 

11 years ago

GPL

H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki. Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake. Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa…

 

10 years ago

GPL

WASTARA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO

Wastara akiwapa zawadi ya bethdei kwa wanawake waliojifungua. …akiwafariji wakina mama waliofiwa na watoto wao baada ya…

 

9 years ago

Michuzi

JK ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WAJUKUU

KekiWajukuu wakimchukua babu wakamwimbie na kukata naye kekiMjukuu akiogoza wajukuu wenzie kumwimbia babuWajukuu wakimwimbia babu...Happy Birthday to youuuuu...Babu akikata keki huku wajukuu wakiisubiri kwa hamu.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


 

10 years ago

GPL

EDNA WA GLOBAL ASHEREHEKEA SIKUKUU YAKE YA KUZALIWA

Joyce Temba (kulia) akimlisha keki Edna.
Edna Manyilizu (kulia) akikata keki pembeni wanaoshudia ni wafanyakazi wa Global
Bahati haule (kulia) akipata fursa ya kukata keki .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani