Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA MIAKA MINNE (4) ASHEREHEKEA BESDEI YAKE YA KUZALIWA MLIMA KILIMANJARO

Mtoto Aldof Isack (4)akikata keki wakati wa sherehe ya kumbukumbu yasiku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika kilele cha Shira Mlima Kilimanjaro ,Kilele chenye urefu wa mita 3,850 ambazo ni sawa na futi 12,630.aliyepiga magoti ni mama wa mtoto huyo Jackline Mchila na nyuma ya mtoto ni dada yake,Feith Isack huku baba yao kushoto akiwa ameshikachupa ya Champagne
Baba wa mtoto Adolf Isack,Bw Isack Kalage akifungua Champagne wakati wa shrehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mtoto wake huyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MTOTO ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Mtoto Zainabu 'IKOTA' Mhamila (kulia) akimlisha keki mama yake mzazi Bi. Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao Buguruni Rozana.Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika pozi huku akiwa na keki yake.Zainabu 'Ikota' Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO ZALEX JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

 Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Baba yake Bwa.Joseph Kusaga ,mapema jioni ya leo mara baada ya wageni waalikwa mbalimbali kupata futari ya pamoja ndani Escape Two,Mbezi jijini Dar,na baadae ikafuatia hafla ndogo ya mtoto Zalex ambaye alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa. Zalex akimlisha keki Mama yake Mdogo,Bi.Mariam Shamo Zalex akikata keki huku akiwa amezungukwa na watoto wenzake waliofika kushiriki nae kwenye hafla hiyo ya siku ya kuzaliwa. Mtoto Zalex Joseph Kusaga...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA MIAKA 9 AVUNJA RECORD YA KUFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

Mtoto Idda Baita (9), akiinua mikono juu kwa furaha baada ya kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro. MTOTO Idda Baita ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Uwanja wa Ndege Moshi, amevunja rekodi ya kuwa mtoto wa kwanza wa kike kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro chenye urefu wa Mita 5739. Idda alitumia njia ya Umbwe, Kibosho njia inayosemekana kuwa ni ngumu hata kwa watu wazima  kuelekea kilele cha...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA, IDDA BAITWA AELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Mtoto Idda Baitwa akiwa na ndugu yake Leah Baitwa wakiwa wamepumzika baada ya kutembea umbari mrefu wakipanda mlima Kilimanjaro.Mtoto Idda Baitwa akijaribu kupita katika miamba kwa msaada wa fimbo wakati akipanda mlima Kilimanjaro."Hoi' ni baada ya kutembea umbali mrefu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU

Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw...

 

11 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA YA KUZALIWA MTOTO AARON

AARON KUTOKA ARUSHA AMEFIKISHA UMRI WA MWAKA MMOJA TAREHE 27 FEBURUARY, 2014, ASHUKURIWE MUNGU,NA PIA ANATOA SALAAM ZA ZA UPENDO KWA WAZAZI WAKE,KAKA ZAKE DAVID NA MARK NA WADAU WOTE WA BLOG YA JAMII   MDAU FRANK, ARUSHA

 

9 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA MTOTO BRAYDEN MOSES

 FAMILIA YA BWANA NA  BIBI MOSES MWANGENDE WA KIMARA B, WANAPENDA KUMPONGEZA  NA KUMTAKIA MTOTO WAO MPENDWA  BRAYDEN MOSES MWANGENDE  SIKU YA LEO TAREHE 05.01.2016 KWA  KUTIMIZA MIAKA  NNE(4),WAZAZI WAKE  WANAMTAKIA AFYA NJEMA NA MWENYEZI  MUNGU AMLINDE.

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Sameer Kikwappe

Mtoto Sameer Kikwappe (katikati) juzi tarehe 20/06/2015 amefikisha umri wa 1 year (one o'clock). Tunamuomba allah ampe maisha marefu. Shoto na kulia kwake ni kaka zake Abutwalib na Nazir (Kalamagi).

 

10 years ago

Michuzi

hepi besdei ya miaka 80 ya kuzaliwa yanga leo

 Ankal naomba turushie hii kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa, japo wewe ni Pan Africa, mwanetu mpotevu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani