Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkazi wa Bukoba ashinda milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’

 Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde(kulia)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ iliyochezeshwa Jumanne jioni katika ofisi za makao makuu ya Airtel. Bw. Rashid Jackob Kagombola, mkazi wa Bukoba  mkoani Kagera alitangazwa mshindi wa shilingi milioni 50. Kushoto ni Mkaguzi mwandamizi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania Bw. Bakari Maggid. Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akimwonyesha Mkaguzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mamilioni ya Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ yaenda Bukoba

Promosheni ya ‘Mimi ni Bingwa’ imemtangaza Rashid Jacob Kagombola, mkazi wa Bukoba mkoani Kagera kuwa mshindi wa Sh50 milioni katika droo kubwa ya bahati nasibu iliyochezeshwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania mwishoni mwa wiki Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu ashinda kwenye promosheni ya Airtel Tanzania Mimi ni Bingwa

Afisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishini mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
---------------------------- MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Mzee Philemon Nathaniel Mgaya anakila sababu...

 

11 years ago

Michuzi

Milioni 50 za Airtel ‘Mimi ni Bingwa’ kutolewa Ijumaa

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde alisema droo hiyo itakayobadilisha maisha ya mtu, imepangwa kuchezeshwa katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
"Baada ya miezi...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA JESHI LA POLISI MSTAAFU ASHINDA KWENYE PROMOSHENI YA AIRTEL TANZANIA MIMI NI BINGWA‏

Ofisa Uhusiano wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania, Jane Matinde, (kulia) akimpongeza mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Philemon Nathaniel Mgaya aliyejishindia shilingi milioni tano (5m/-) ikiwa ni zawadi ya wiki katika promosheni ya Mimi ni Bingwa. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP)...

 

11 years ago

GPL

MILIONI 50 ZA AIRTEL ‘MIMI NI BINGWA’ KUTOLEWA IJUMAA

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Na Mwandishi Wetu
 KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania Ijumaa hii itachezesha droo kubwa ya promosheni yake ya 'Mimi Ni Bingwa' ambayo itamfanya mmoja wa wateja wake kujishindia zawadi ya kitita cha shilingi milioni 50. Jane Matinde akiwa na baadhi ya washindi wa shindano la Mimi Ni… ...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAKABIDHI MILIONI 50 KWA MSHINDI WA PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA LEO

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi  wa Promosheni  ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini. Meneja Masoko  wa Airtel , Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi  wa… ...

 

11 years ago

Mwananchi

IGP mstaafu ashinda ‘Mimi Bingwa’

>Mkuu wa Polisi (IGP) mstaafu,  Philemon Mgaya ameibuka mshindi wa Sh5 milioni  za Airtel Tanzania kwenye promosheni ya Mimi ni Bingwa, zinazotolewa kila wiki.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yamtangaza Bingwa wa Airtel Trace Music, yamzawadia milioni 50

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel leo imemtangaza rasmi mshindi wa shindano la Airtel Trace Music star, shindano lilidumu kwa muda wa miezi mitatu maalum kwa wasanii chipukizi kuweza kuimba na kutuma nyimbo zao kwa kutumia simu zao za mkononi kama studio kwa lengo la kusaka na kuibua vipaji kwa wanamuziki chipukizi nchini.
Akiongea na waandishi wa habari Meneja Masoko wa Airtel Aneth Muga alisema"Leo tunayofuraha kubwa kumtangaza mshindi wetu wa shindano la Airtel Trace Music Stars mara...

 

10 years ago

Michuzi

MKAZI WA BUKOBA ASHINDA NISSAN DOUBLE CABIN PICK UP KATIKA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA BENKI YA NBC

Ofisa Kumbukumbu wa Benki ya NBC, Telesfori Gabriel (wa tatu kushoto) akibonyeza kitufe cha kompyuta ili kupata mshindi wa droo kubwa ya promosheni ya Weka Upewe ya benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mkazi wa Bukoba, Josephat Gerald Ruyongo ameibuka kidedea wa zawadi ya gari jipya aina ya Nissan Double Cabin Pick Up 2014 yenye thamani ya zaidi ya shs milioni 54.Wengine kutoka kushoto Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Mrisho Millao, Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani