Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Tanzania ‘airudishia’ TBL Sh10 mil

 Aliyekuwa mrembo wa Tanzania (Miss Tanzania), Sitti Mtemvu amejivua taji na kuacha nyuma kitita cha Sh10 milioni alizokuwa apewe na wadhamini wa mashindano hayo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Saccos ya vijana yakopeshwa Sh10 mil

Chama cha Akiba na Mikopo cha Manispaa ya Musoma (Vijana Musoma Saccos), imepokea mkopo wa Sh10 milioni kutoka kwa mkurugenzi wa manispaa ikiwa ni mkopo wa awamu ya pili.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili wazoa Sh10 mil Airtel

 Mkazi wa Songea mkoani Ruvuma, Rehema Mohamed Nasibu na Willhard Mlenga Malimbo wa jijini Dar es Salaam wametwaa kitita cha Sh5 milioni kila mmoja katika promosheni ya Mimi Bingwa inayoendeshwa na Kampuni ya Simu ya Airtel, inayoendelea.

 

9 years ago

Habarileo

Uwakala Miss Tanzania mil 1/-

KAMATI ya Miss Tanzania imesema kuwa wakala anayetaka kuandaa shindano hilo la urembo katika mkoa wake, anatakiwa kulipa Sh milioni 1 ikiwa ni ada ya uanachama.

 

10 years ago

Mwananchi

Mshindi Miss Tanzania kuzoa Sh18 mil

Baada ya ubishi wa kisheria mahakamani, sasa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania mwaka 2014 yatafanyika Jumamosi kama ilivyopangwa na mshindi atazawadiwa Sh18 milioni.

 

10 years ago

Vijimambo

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA SH. MIL. 65 RUFIJI

 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji , Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifungua maji ya bomba mara baada ya makabidhiano ya kisima kilichochimbwa na TBL kwa gahrama ya shilingi mil. 65 katika Kijiji cha Mwaseni Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani. Makabidhiano hayo yalifanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki.
 Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo, wakiwatwisha...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh.mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga....

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA

 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina.
  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani