MISS TZ 2014 AKIMBILIA KANISANI
![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDJUmoXyaMuFPSwiExtxYVGDHzrYVWfm8HvzQLfv2NYzyqFXvM9nrofLzK6qB1COn1dWSXL1L6fTwQ3ezuHvWJM4/miss.jpg)
Stori: Imelda Mtema Ziba masikio, fanya yako! Wakati watu wakichonga juu ya sakata la madai ya kuwa na mtoto na utata juu ya umri wake, Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu anadaiwa kukimbilia kanisani. Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu. Habari za uhakika zilidai kwamba, baada ya kutwaa taji hilo hivi karibuni na kuibua sintofahamu, mrembo huyo alikimbilia kwenye Kanisa la Ufunuo kwa Nabii Yaspi Bendera lilipo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
![VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLD](http://bomalog.com/wp-content/uploads/2014/11/tz.jpg)
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Miss Ethiopia ndiye Miss Africa Usa 2014, Joy Kalemera awa wanne
Miss Ethiopia akifurahia taji la kuwa Miss Africa katika mashindano hayo yaliyofanyika Rockville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mshiriki wa Tanzania, Joy Kalemera ameshika nafasi ya 4 kati ya washiriki 20 walioingia fainali hizo.
Washiriki watano waliopata nafasi ya kuingia tano bora kutoka kushoto ni Miss Tanzania aliyeshika na 4, Miss Uganda aliyeshika na 2, Miss Ethiopia aliyeshinda,...
10 years ago
Michuzi20 Nov
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Miss Afrika Kusini awa Miss World 2014
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-scpofE3Sh9I/VI25cGFBgxI/AAAAAAAG3LE/wcTnTadhjzU/s72-c/miss-world-2014.jpg)
NEWS ALERT: MISS SOUTH AFRICA Rolene STRAUSS ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014 USIKU HUU JIJINI LONDON, UINGEREZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-scpofE3Sh9I/VI25cGFBgxI/AAAAAAAG3LE/wcTnTadhjzU/s1600/miss-world-2014.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QiPAw6maMrU/VI3D1fxh5yI/AAAAAAAG3LY/st7LyIHWSSE/s1600/83517_profileImage1.600x400.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Nani kutwaa Taji la Miss Tabata 2014 leo Tarehe 06/06/2014?
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Ud_8jxwBGqA/VIyuMiKeRYI/AAAAAAAC-i0/JG4lBXai-B0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-12-13%2Bat%2B9.21.50%2BPM.png)
MISS WORLD 2014 LIVE FROM LONDON JUMAPILI DESEMBA 14, 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ud_8jxwBGqA/VIyuMiKeRYI/AAAAAAAC-i0/JG4lBXai-B0/s1600/Screen%2BShot%2B2014-12-13%2Bat%2B9.21.50%2BPM.png)
Watanzania tukiamua yetu tunamua kweli kweli dah hii ni komesha let's keep voting tuwe no 1 jamani we can do it. Let's go my good people.
By @happinesswatimanywa
Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika�� #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu
TIME, DATE AND TV CHANNEL FOR MISS WORLD 2014 LIVE FROM LONDON THE MISS WORLD 2014 PAGEANT ITAONESHWA LIVE KWENYE TV...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM