Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono
The post Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25
The post Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Goli la mkono si la bahati mbaya
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Ukawa inajifunga goli la mkono yenyewe!
SITAKI kuamini kwamba safari ya vyama vya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwisho wake ni kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Sitaki kuamini kutokana na matamko yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa umoja huu baada ya uamuzi wao wa kususia
mijadala iliyokuwa ikiendelea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Ilikuwa ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, aliyehamasisha wajumbe wa Bunge...
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
Magufuli; umepatikana kwa mbinde iokoe CCM na fitina, mizengwe
KATIKA filamu ya Godfather III, kiongozi wa kundi la mafia, Don Michael Corleone, anaonekana anamwambia msaidizi wake Vicent Mancini, asiwachukie adui zake kwa sababu ‘inaathiri uwezo wa kuamua.’ Kama kuna somo ambalo tunaweza kujifunza kutoka Dodoma baada ya taifa kuishi kwa kimuhemuhe na kulazimika kukesha kwa siku mbili baadhi wakilala usingizi wa mang’amung’amu ili kujua kilichokuwa kikitokea katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni ukweli kwamba ‘wazee wa CCM’ ni wafuasi wazuri...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
FAHAMU: Namna ya kujibashiria rizki yako kwa kutumia kiganja cha mkono wako
![](http://www.jukwaahuru.com/wp-content/uploads/2013/04/life_line-1200x545_c.png)
5 years ago
MichuziTAASISI YA AMANI TANZANIA YAWATAKA WANASIASA KUACHA KUTUMIA JANGA LA CORONA KAMA MTAJI WA KISIASA, WAUNGA MKONO HOTUBA YA RAIS MAGUFULI
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Uungwaji mkono CCM waongezeka kitaifa
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Butiku aunga mkono wanaohama CCM
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.
Alisema makada hao walichelewa kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.
Butiku aliyasema hayo alipotoa mada kwenye mdahalo wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.
Alisema CCM ni sawa na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.
Butiku...