Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uungwaji mkono CCM waongezeka kitaifa

Uungwaji mkono wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeongezeka mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana, utafiti umebaini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATU MBALIMBALI WAKIWEMO VIONGOZI WA KITAIFA WAIUNGA MKONO JENGA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata akiunga mkono Jenga Foundation kwa kununua kikuku cha mkononi kulia ni Nassoro Basalama mmoja wa viongozi wa JENGA Foundation Nassoro Basalama akimvisha Kikuku cha mkononi Susie Nkurlu mmoja wa wahudhuriaji kwenye mkutano wa DICOTA 2014 yote ni kuunga mkono juhudi za Jenga Foundation. Mlimbwende wa mitindo Flaviana Matata akiunga mkono JENGA Foundation kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North...

 

10 years ago

Habarileo

Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Z’bar, yasema CCM.

Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi Zanzibar, Waride Bakari JabuCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja Kitaifa yageuka shubiri kwa CCM

Wakati homa ya uchaguzi mkuu ikipamba moto, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekerwa na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kuvunja makubaliano kwa kutoa kauli zinazotofautiana na Serikali kwenye majukwaa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono

The post Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Hatutambui ‘bao la mkono la CCM’

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haitambui bao la mkono, bali inaamini wingi wa kura za wananchi kumpata mshindi halali kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Wassira: Nitamuunga mkono yeyote wa CCM

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wassira amesema yupo tayari kumuunga mkono mgombea yeyote atakayeteuliwa na CCM kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, endapo nafasi hiyo haitaangukia mikononi mwake.

 

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Habarileo

Malaigwanani waunga mkono kusimikwa Joshua wa CCM

WAZEE wa jamii ya kifugaji wa kimasai (Malaigwanani) wa Kata ya Naisinyai Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameunga mkono kitendo cha wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa kumsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Mara yampongeza JK kuunga mkono BMK

MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kitendo chake cha kuunga mkono Bunge Maalum la Katiba wakati wote lilipokuwa linaendelea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani