Ukawa inajifunga goli la mkono yenyewe!
SITAKI kuamini kwamba safari ya vyama vya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), mwisho wake ni kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
Sitaki kuamini kutokana na matamko yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa umoja huu baada ya uamuzi wao wa kususia
mijadala iliyokuwa ikiendelea ndani ya Bunge Maalumu la Katiba chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Ilikuwa ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, aliyehamasisha wajumbe wa Bunge...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Goli la mkono si la bahati mbaya
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono
The post Mizengwe ya ccm kutumia goli la mkono appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25
The post Ccm na goli la Mkono ktk uchaguzi wa Okt 25 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-2q-7e_dnLKU/VapEuhmjw0I/AAAAAAAAWTo/muDEIV_egMQ/s72-c/5.jpg)
KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA
![](http://4.bp.blogspot.com/-2q-7e_dnLKU/VapEuhmjw0I/AAAAAAAAWTo/muDEIV_egMQ/s640/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-u3OvjyRbCxE/VapEksThWbI/AAAAAAAAWTM/qz-FPT_yu9s/s640/4U.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Waislamu wawaunga mkono UKAWA
WAKATI Umoja wa Katiba (UKAWA) ukiwalaumu baadhi ya viongozi kwa kupendelea CCM, Jumuiya, Taasisi za Kiislamu na Shura ya Maimamu nchini, wamewataka wasirejee bungeni hadi watakapohakikishiwa kuwa mawazo ya wananchi...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-NoB87ZLItfI/U3FU3CQL8vI/AAAAAAABJvQ/hYU0xIg-qCU/s72-c/ukawa.jpg)
Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja
![](http://3.bp.blogspot.com/-NoB87ZLItfI/U3FU3CQL8vI/AAAAAAABJvQ/hYU0xIg-qCU/s640/ukawa.jpg)
Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.
Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...
11 years ago
Mwananchi18 May
Ukawa wataka kuungwa mkono Katiba Mpya
11 years ago
Mwananchi18 May
Slaa anguruma, ataka Ukawa iungwe mkono