Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJAMZITO ANASWA KWA UKAHABA

Stori: ISSA MNALLY NA DUSTAN SHEKIDELE
OPARESHENI ya Polisi wa Mkoa wa Morogoro na kikosi maalum cha kufichua Maovu cha Magazeti ya Global Publishers (OFM), imemnasa mwanamke mjamzito katika kamatakamata ya machangudoa. Katika oparesheni hiyo ya aina yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Msamvu (Kambi ya Itigi), wanawake 30 waliodaiwa kujihusisha na biashara hiyo walikamatwa. Waandishi wetu wakiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAUME TATA ANASWA KWA UKAHABA!

Imeandikwa na Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
AMA kweli dunia imefika ukingoni! Ile Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, bado ipo kazini ikishirikiana na polisi ambapo safari hii imeibuka na kigongo cha aina yake baada ya kumnasa ‘mwanaume tata’ akijihusisha na ukahaba, Risasi Mchanganyiko lina mzigo kamili. Ikiwa kwenye fumuafumua ya magenge ya ngono maeneo ya Kahumba mjini Morogoro hivi...

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana 6 kortini kwa ukahaba

WASICHANA sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive kujibu mashitaka ya kufanya biashara haramu ya ukahaba.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Dodoma yataja 15 walionaswa kwa 'ukahaba'

WANAWAKE 15 wametiwa mbaroni mkoani Dodoma kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya ukahaba. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime juzi watu hao wamekamatwa kufuatia msako uliofanywa mwanzoni mwa wiki.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini malaria ni tishio kwa mama mjamzito?

‘Wekeza kwa maisha ya baadaye, ishinde Malaria’ hii ni kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya Malaria duniani ambayo inaadhimishwa leo duniani kote.

 

10 years ago

GPL

UGONJWA WA MALARIA KWA MJAMZITO

Malaria ni maambukizi ya seli nyekundu za damu inayosababishwa na vimelea vinavyoitwa kitaalamu, Plasmodiumu. Plasmodiumu hawa husambazwa na mbu   aina ya Anofelesi. Mbu hutoa parasiti za malaria na kukomaa katika seli nyekundu za damu na mamilioni ya parasiti hukusanyika katika plasenta ya mjamzito.Malaria ni hatari zaidi kwa wajawazito kuliko watu ambao hawana mimba. Dalili za malaria
Mama mjamzito anakuwa na dalili...

 

11 years ago

GPL

UPUNGUFU WA DAMU KWA MJAMZITO -2

BAADA ya kueleza madhara ya upungufu wa damu kwa wajawazito kwa kina wiki iliyopita, leo tuangalie madhara kwa mimba na mtoto atakayezaliwa. Madhara ni pamoja na mtoto kuzaliwa njiti, mtoto kuzaliwa na uzito mdogo, mtoto kuwa na score ndogo kitaalamu huitwa poor Apgar score, mtoto kuzaliwa akiwa amechoka yaani fetal distress na hutokea upungufu wa damu kwa mtoto. Watoto wanaozaliwa wakiwa na upungufu wa damu hukua kwa tabu, huwa...

 

10 years ago

Habarileo

Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu

Kamanda wa Polisi, mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaMLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA NKASI AZINDUA HUDUMA YA OPTION B PLUS MKOANI RUKWA (TIBA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Hassan Kimanta kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi huduma ya Option B Plus Mkoani Rukwa jana tarehe 07 Juni, 2014 katika Kijiji cha Tamasenga Wilayani Sumbawanga. Huduma hiyo ina lengo la kutoa tiba ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto mchanga. Kaulimbiu ya huduma hiyo ikiwa "Amka Sasa Tokomeza VVU kwa Watoto, Kama mjamzito Pima VVU kwa maisha Bora,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani