Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJASIRIAMALI : Umuhimu wa wafanyabiashara wadogo kwa Taifa

Sera ya taifa ya wafanyabiashara wadogo na wa kati inatambua umuhimu wao katika maendeleo ya nchi. Ni kutokana na umuhimu wao ndiyo maana Serikali iliamua kutunga sera itakayoongoza shughuli za utendaji kazi wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MJASIRIAMALI : Umuhimu wa huduma kwa mteja

Biashara inahitaji watu waliokusudia kutoa huduma nzuri kwa wateja. Hii ni kutokana na ukweli kuwa wateja ndiyo nguzo kuu ya biashara ambazo mtu anafanya. Ndiyo maana tuna msemo maarufu wa Kiswahili usemao, “Mteja ni mfalme”.

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya maji ya Kisima AQUA COOL LTD yatoa msaada wa nguo za kujikinga na mvua kwa wafanyabiashara wadogo wadogo jijini dar

Na Niccomeditz
KUTOKANA na mvua kubwa zilizonyesha karibu maeneo yote ya nchi na kuleta maafa hususan katika jijin la Dar es Salaam Kampuni ya Aqua Cool Ltd Watengenezaji wa maji safi ya Kisima Pure Drinking Water imetoa msaada wa mavazi ya kujikinga na mvua ya mpira (ponchos) kwa wakazi wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Msaada huo ulitolewa na uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa makundi mbalimbali kama watembea kwa miguu, mama lishe , waendesha bodaboda na...

 

5 years ago

Michuzi

CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE YATOA MSAADA WA BARAKO 1000 KWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO PAMOJA NA WAENDESHA BODA BODA

Na Shukrani Kawogo, Njombe

Kutokana na kuenea kwa ungonjwa wa COVID 19 Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kimetoa msaada wa barakoa elfu moja kwa wafanyabiashara ndogondogo pamoja na vituo vya bodaboda vilivyopo maeneo ya mjini.

Akizungumza katika zoezi hilo la ugawaji Mwenyekiti wa vijana wa chama hicho ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa na wilaya Theopista Mhagama amesema kuwa wameamua kugawa barakoa hizo katika makundi hayo kwakuwa yanamuingiliano mkubwa wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Njia za kupata mitaji kwa wafanyabiashara wadogo

Wajasiriamali wadogo wamekuwa katika changamoto kubwa ya kupata mitaji kwa ajili ya kuendeshea biashara. Baadhi yao wamekuwa na ndoto za kumiliki kampuni kubwa za biashara kama vile Mwananchi Communications, Bakhresa Food Product, Coca Cola, Pepsi n.k, lakini kwa sababu ya kutopata fursa ya kukopa, wengi hushindwa kutimiza ndoto zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS YAWAFUNGA WADOGO ZAO MBILI KWA MOJA

Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza dhidi ya vijana wa timu ya taifa wenye umri wa chini ya miaka 20 leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kikosi cha vijana wa timu nya taifa wenye umri wa chini ya miaka 20.…

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanaowanyanyasa wafanyabiashara wadogo kukiona


NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
SERIKALI imesema itawashughulikia wale wote wanaowanyanyasa wafanyabiashara wadowadogo, akiwemo afisa tarafa wa Kariakoo kwa kisingizio cha kusafisha miji.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu.
Pinda alisema kumekuwa na unyanyasaji huo, ikiwemo unyang’anyaji wa mali katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio hicho cha kuweka miji safi.

“Hata mimi nimerushiwa picha moja ikionyesha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa

WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wafanyabiashara wadogo Kenya walivyoathirika

Imebainika kuwa baadhi ya wafanyibiasha nchini Kenya wamekuwa wakikiuka marufuku ya kutoka nje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani