Wanaowanyanyasa wafanyabiashara wadogo kukiona
![](http://1.bp.blogspot.com/-Z0C2sdBfHh8/VMpGJHXacwI/AAAAAAAABw8/KOd6kwePctY/s72-c/pinda.jpg)
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
SERIKALI imesema itawashughulikia wale wote wanaowanyanyasa wafanyabiashara wadowadogo, akiwemo afisa tarafa wa Kariakoo kwa kisingizio cha kusafisha miji.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu.
Pinda alisema kumekuwa na unyanyasaji huo, ikiwemo unyang’anyaji wa mali katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio hicho cha kuweka miji safi.
“Hata mimi nimerushiwa picha moja ikionyesha...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKampuni ya maji ya Kisima AQUA COOL LTD yatoa msaada wa nguo za kujikinga na mvua kwa wafanyabiashara wadogo wadogo jijini dar
KUTOKANA na mvua kubwa zilizonyesha karibu maeneo yote ya nchi na kuleta maafa hususan katika jijin la Dar es Salaam Kampuni ya Aqua Cool Ltd Watengenezaji wa maji safi ya Kisima Pure Drinking Water imetoa msaada wa mavazi ya kujikinga na mvua ya mpira (ponchos) kwa wakazi wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Msaada huo ulitolewa na uongozi na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa makundi mbalimbali kama watembea kwa miguu, mama lishe , waendesha bodaboda na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LtNxPZGPDQQ/Xr91bmm0W2I/AAAAAAALqbA/5Q4evDonlJUwl6stcfpz2gJx214tp5CWACLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
CCM LUDEWA MKOANI NJOMBE YATOA MSAADA WA BARAKO 1000 KWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO PAMOJA NA WAENDESHA BODA BODA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LtNxPZGPDQQ/Xr91bmm0W2I/AAAAAAALqbA/5Q4evDonlJUwl6stcfpz2gJx214tp5CWACLcBGAsYHQ/s1600/index.jpg)
Kutokana na kuenea kwa ungonjwa wa COVID 19 Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kimetoa msaada wa barakoa elfu moja kwa wafanyabiashara ndogondogo pamoja na vituo vya bodaboda vilivyopo maeneo ya mjini.
Akizungumza katika zoezi hilo la ugawaji Mwenyekiti wa vijana wa chama hicho ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa na wilaya Theopista Mhagama amesema kuwa wameamua kugawa barakoa hizo katika makundi hayo kwakuwa yanamuingiliano mkubwa wa...
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Wafanyabiashara wadogo watakiwa kuchangamkia fursa
WAFANYABIASHARA wadogo wadogo wametakiwa kutumia fursa wanazozipata ili kujiendeleza katika biashara zao kwa lengo la kupanua wigo ndani na nje ya nchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana...
11 years ago
Mwananchi29 May
Njia za kupata mitaji kwa wafanyabiashara wadogo
9 years ago
Mwananchi03 Sep
MJASIRIAMALI : Umuhimu wa wafanyabiashara wadogo kwa Taifa
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Wafanyabiashara wadogo Kenya walivyoathirika
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/01/211.jpg)
KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI
9 years ago
StarTV03 Dec
Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.
Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...