Mji wa Bor wakombolewa tena
Bor, mji mkuu wa jimbo la Jonglei la Sudan Kusini warudi tena mikononi mwa jeshi, lakini waasi wasema waliondoka bila ya kupigana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Mji wa Bor S.Kusini wageuka mahame
Mji wa Bor uliokombolewa hivi karibuni na wanajeshi wa Serikari umeharibika kabisa kufuatia mapambano na waasi.
11 years ago
BBCSwahili19 Dec
Waasi Sudan Kusini washikilia mji wa Bor
Waasi Sudan Kusini wametwaa mji wa Bor uliopo kilimita 200 kaskazini mwa mji mkuu Juba
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waasi wauteka tena mji wa Bentiu
Wapiganaji S.Kusini wanasema wameudhibiti upya mji wa Bentiu, na wametoa makataa kwa makampuni kusitisha uchimbaji wa mafuta.
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Waisilamu wautoroka mji wa Bangui tena
Walinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamewaondosha waisilamu,1,200, kutoka mji mkuu Bangui kutokana na tisho la usalama wao.
11 years ago
BBCSwahili21 Dec
Askari wa Marekani wajeruhiwa Bor
Wanajeshi wa Marekani wajeruhiwa Sudan Kusini katika mji wa Bor ambao serikali yajaribu kuukomboa
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72113000/jpg/_72113366_72111819.jpg)
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Mamia wakimbia vita Bor
Wakaazi wa mji wa Bor nchini Sudan Kusini wanaendelea kuukimbia mji huo wakihofia maisha yao.
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Vijana wa Machar waelekea Bor
Taarifa zasema vijana wa Sudan Kusini wafuasi wa Riek Machar waandamana kuelekea Bor, mji uliokombolewa na serikali
11 years ago
BBCSwahili05 Jan
Jenerali wa Sudan Kusini auwawa Bor.
Mapigano makali yamezuka nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini wa Bor na Jenerali mmoja wa jeshi la Sudan Kusini ameuwawa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania