Waasi wauteka tena mji wa Bentiu
Wapiganaji S.Kusini wanasema wameudhibiti upya mji wa Bentiu, na wametoa makataa kwa makampuni kusitisha uchimbaji wa mafuta.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Sudan Kusini:Waasi wauteka mji wa Nasir
Waasi nchini Sudan Kusini wanasema kuwa wameuteka mji muhimu wa Nasir katika jimbo la upper Nile.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Waasi wadhibiti ulinzi wa Bentiu
Waasi nchini Sudan Kusini wameanza harakati za kuulinda vikali mji wa Bentiu ambao waliutwaa kutoka kwa serikali wakihofia majeshi ya Serikali kuupigania.
10 years ago
BBCSwahili18 May
IS wauteka mji wa Ramadi
Baada ya mapigano makali kwa siku kadhaa katika mji wa Ramadi nchini Iraq,hatimaye yamesababisha kushikiliwa kwa mji huo.
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Wanajeshi wa Iraq wauteka mji wa Tiqrit
Serikali ya Iraq inasema kuwa vikosi vyake vimeuteka mji wa kazkazini wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa ISIS.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Majambazi wauteka Mji wa Geita, waua
Majambazi wawili jana walizua taharuki katika Mji wa Geita baada ya kuvamia na kupora fedha katika maeneo mawili tofauti kisha kumuua mtoa huduma za fedha kupitia mitandao ya simu.
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Boko Haram wauteka mji mwingine
Kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria Boko Haram, wameuteka mji mwingine Kaskazini Mashariki ya nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Wapiganaji wa IS wauteka mji nchini Iraq
Marekani imethibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic State wameuteka mji wa Ali Baghdadi ulio mashariki mwa Iraq
9 years ago
VijimamboJK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI
Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya...
11 years ago
BBCSwahili19 Dec
Waasi Sudan Kusini washikilia mji wa Bor
Waasi Sudan Kusini wametwaa mji wa Bor uliopo kilimita 200 kaskazini mwa mji mkuu Juba
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania