Waasi wadhibiti ulinzi wa Bentiu
Waasi nchini Sudan Kusini wameanza harakati za kuulinda vikali mji wa Bentiu ambao waliutwaa kutoka kwa serikali wakihofia majeshi ya Serikali kuupigania.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waasi wauteka tena mji wa Bentiu
Wapiganaji S.Kusini wanasema wameudhibiti upya mji wa Bentiu, na wametoa makataa kwa makampuni kusitisha uchimbaji wa mafuta.
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Maafisa wadhibiti ulinzi Kenya
Maafisa wa usalama nchini Kenya wamedhibiti ulinzi baada ya kunasa silaha nzito kutoka kwa watu wanaoshukiwa kuwa magaidi mjini Mombasa Pwani ya Kenya
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Polisi wadhibiti ulinzi mjini Mombasa
Polisi waliojihami wanaendelea kushika doria katika barabara za mji wa Mombasa Pwani ya Kenya kuhakikisha utulivu baada ya vurugu na msako wa polisi misikitini
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Polisi wadhibiti maandamano
 Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limezima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana baada ya askari wake wa miguu na magari ya maji ya kuwasha kutanda mitaani, huku chama hicho kikidai kufanikiwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Jeshi la Somalia na AU wadhibiti Barawe
Wanajeshi wa Somalia na vikosi vya Muungano wa Afrika wamechukua udhibiti wa mji wa Barawe iliyokuwa ngome ya al-Shabab.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74634000/jpg/_74634643_afp.jpg)
S Sudan forces in Bentiu offensive
Government forces in South Sudan advance on the oil town of Bentiu, which was captured by rebels last month.
10 years ago
Habarileo13 Dec
RC aagiza wadhibiti uegeshaji kutimuliwa
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, ameiagiza Halmashauri ya Jiji kuondoa kampuni ya uwakala wa kusimamia udhibiti wa uegeshaji holela wa magari katika eneo la jiji kutokana na makampuni hayo kuwa kero kwa watumiaji wa barabara.
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Wanajeshi wa S.Kusini wakomboa Bentiu
Taarifa kutoka Sudan Kusini zasema kuwa wanajeshi wa taifa hilo wameukomboa mji wa Bentiu kutoka kwa waasi watiifu kwa Riek Machar.
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Jeshi S.Kusini mbioni kudhibiti Bentiu
Jeshi la Sudan Kusini linasema kuwa linakaribia kuutwaa mji wa Bentiu ambao mwezi jana ulitekwa na waasi wanaomuunga mkono aliyekuwa makamu wa Rais Riek Machar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania