Mjkuu wa Morgan freeman auwawa
Mjukuu wa kambo wa nyota wa filamu nchini Marekani Morgan Freeman amedungwa kisu hadi kufa karibu na nyumbani kwake huko New York.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo17 Aug
Mjukuu wa Morgan freeman auwawa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/08/17/150817094443_morgan_freeman_549x549__nocredit.jpg)
Mjukuu wa kambo wa nyota wa filamu nchini Marekani Morgan Freeman amedungwa kisu hadi kufa karibu na nyumbani kwake huko New York.
E'Dena Hines alipatikana akiwa na majeraha ya kisu kifuani nje ya nyumba yake katika barabara ya West 162 mapema siku ya jumapili.
Marehemu mwenye umri wa miaka 33 alichukuliwa na ambulansi lakini akatangazwa amefariki katika hospitali ya Harlem.
Lamar Davenport mwenye umri wa miaka 30 kutoka mjini New York alishtakiwa kwa makosa...
10 years ago
Bongo522 Aug
Morgan Freeman (77): Mapenzi yananipa ujana
Muigizaji wa filamu wa Marekani, Morgan Freeman anadai kuwa mapenzi yanamfanya aendelee kuwa kijana. Staa huyo mwenye miaka 77 ambaye hadi sasa ana talaka mbili anahisi kuwa hamu ya kufanya mapenzi katika uzee huo ni sababu ya kujisikia kijana. Anadai kuwa wasichana wamekuwa wakimwambia bado anavutia. Alipoulizwa ni vipi ameendelea kujisikia kijana, Morgan alijibu: “P***y.” […]
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Morgan Freeman anusurika ajali ya ndege
Msanii mkongwe Morgan Freeman alinusurika katika ajali ya ndege mjini Mississippi Marekani.
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Jenerali Nshimirimana auwawa
Jenerali aliyehusika na usalama na kukandamiza maandamano Burundi, apigwa risasi na kuuwawa
9 years ago
Bongo528 Sep
Video: Cynthia Morgan — Simatiniya
Msanii wa muziki wa dance hall kutoka Nigeria Cynthia Morgan ameachia video mpya wimbo unaitwa “Simatiniya”, Katika hii video ameonekana msanii Burna Boy. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Mtaalamu wa silaha za kemikali IS auwawa
Jeshi la Marekani linasema kuwa mtaalamu mmoja wa silaha za kemilkali aliyekuwa akifanya kazi na kundi la Islamic State ameuawa
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mwandishi wa habari auwawa Mogadishu
Mwandishi wa habari kijana amekufa baada ya bomu lilotegwa chini ya gari lake kuripuka katika mji mkuu
9 years ago
TheCitizen09 Sep
MORGAN MEAKER : Any such thing as a ‘safe’ country?
At the same time as European Union nations consider opening their doors to more Syrian refugees, they are looking for ways to close them to asylum seekers from other countries.
10 years ago
Michuzi14 Jan
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania