Morgan Freeman (77): Mapenzi yananipa ujana
Muigizaji wa filamu wa Marekani, Morgan Freeman anadai kuwa mapenzi yanamfanya aendelee kuwa kijana. Staa huyo mwenye miaka 77 ambaye hadi sasa ana talaka mbili anahisi kuwa hamu ya kufanya mapenzi katika uzee huo ni sababu ya kujisikia kijana. Anadai kuwa wasichana wamekuwa wakimwambia bado anavutia. Alipoulizwa ni vipi ameendelea kujisikia kijana, Morgan alijibu: “P***y.” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mjkuu wa Morgan freeman auwawa
9 years ago
Vijimambo17 Aug
Mjukuu wa Morgan freeman auwawa
Mjukuu wa kambo wa nyota wa filamu nchini Marekani Morgan Freeman amedungwa kisu hadi kufa karibu na nyumbani kwake huko New York.
E'Dena Hines alipatikana akiwa na majeraha ya kisu kifuani nje ya nyumba yake katika barabara ya West 162 mapema siku ya jumapili.
Marehemu mwenye umri wa miaka 33 alichukuliwa na ambulansi lakini akatangazwa amefariki katika hospitali ya Harlem.
Lamar Davenport mwenye umri wa miaka 30 kutoka mjini New York alishtakiwa kwa makosa...
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Morgan Freeman anusurika ajali ya ndege
10 years ago
Mtanzania28 May
Riyama: Maneno machafu yananipa chakula
NA GEORGE KAYALA
MSANII mwenye heshima kubwa kwenye tasnia ya filamu za Bongo, Riyama Ally, ameibuka na kujivunia kwamba maneno machafu anayoyatumia katika filamu mbalimbali anazocheza ndiyo yanayompa chakula cha kila siku.
Riyama alisema katika filamu mbalimbali alizocheza amekuwa akitumia maneno ya kashfa, kejeli ambayo yameonyesha kuvutia waongozaji wengi wa filamu nchini kumtumia katika filamu zao.
“Nina kila sababu ya kujivunia maneno machafu ya uswahilini kwani hayo ndiyo yananifanya...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.
Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni, Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa
“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
‘Urais ni zaidi ya ujana’
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Ujana maji ya moto:
9 years ago
Bongo528 Sep
Video: Cynthia Morgan — Simatiniya
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Ujana ni mapito, si sifa ya uongozi
SIKUBALIANI na wanasiasa vijana wanaoendekeza siasa za kutukuza ujana na kubeza “uzee” kama njia ya kujipatia uongozi. Sikubaliani nao wanaposimama majukwaani kuhamasisha vijana wenzao kuwa huu ni wakati wao kuchukua...