Riyama: Maneno machafu yananipa chakula
NA GEORGE KAYALA
MSANII mwenye heshima kubwa kwenye tasnia ya filamu za Bongo, Riyama Ally, ameibuka na kujivunia kwamba maneno machafu anayoyatumia katika filamu mbalimbali anazocheza ndiyo yanayompa chakula cha kila siku.
Riyama alisema katika filamu mbalimbali alizocheza amekuwa akitumia maneno ya kashfa, kejeli ambayo yameonyesha kuvutia waongozaji wengi wa filamu nchini kumtumia katika filamu zao.
“Nina kila sababu ya kujivunia maneno machafu ya uswahilini kwani hayo ndiyo yananifanya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best...
10 years ago
Bongo Movies26 May
Riyama Ajivunia Maneno ya Kiswazi
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally, ameibuka na kusema anajivunia kuwa na manenona misemo ya kiswazi ambayo huzungumzwa na wanawake wanaishi sehemu za uswahilini ndiyo maana amekuwa akishirikishwa kwenye Filamu nyingi.
Akizungumza na Tanuru la Filamu jana, Rayama alisema kuwa filamu mpya iitwayo WOGA ambayo ipo madukani sasa imesababisha watu wengi wahisi kama ndivyo alivyo hata akiwa nyumbani kwake kwa sababu uhusika alioubeba huku unaonekana ndivyo tabia yake.
“Nine kila sababu...
10 years ago
Bongo522 Aug
Morgan Freeman (77): Mapenzi yananipa ujana
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.
10 years ago
Habarileo24 Sep
'Maneno maneno' yamkera Waziri
WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Mafuta machafu yaingizwa nchini
MKEMIA Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, amesema kuna kampuni tatu za mafuta hapa nchini zimeingiza mafuta machafu yaliyotumika pamoja na kukwepa kulipa kodi. Licha ya kueleza jambo hilo, Manyele...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoaYF5iwi91*fFWtXRyu8Sa9mK3lBOxWNL9QZDVYyfCHmUWZdVbZQBiYQJC-qYTlvLvFBtkRTyNHu1jt2aTh0J78/pendo.jpg)
MAJI MACHAFU YAMLAZA PENDO KITANDANI
10 years ago
CloudsFM08 Dec
MTOTO AOPOLEWA KWENYE DIMBWI LA MAJI MACHAFU
Mtoto mwenye umri ya miaka 5 afariki dunia kwenye dimbwi la maji machafu karibu na mtaa wa stendi ya mabasi Mafinga, wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Mtoto huyo alipotea nyumbani takribani siku 3 zimepita ambapo mama mzazi alitoa taarifa jeshi la polisi liweze kumsaidia lakini juhudi hizo haikuzaa matunda ambapo hii leo amekutwa kwenye dimbwi la maji hayo.
11 years ago
GPLCHEMBA ITIRIRISHAYO MAJI MACHAFU BARABARANI MWENGE