Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjue Torongey chaguo la Chadema Chalinze

>Mathayo Torongey ndiye mgombea mteule wa nafasi ya ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Torongey awataka Chalinze kuchukua hatua

ALIYEKUWA mgombea ubunge Chalinze kwenye uchaguzi mdogo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mathayo Torongey, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuacha kulalamika, badala yake wachukue hatua katika uchaguzi ujao....

 

11 years ago

Tanzania Daima

MATHAYO TORONGEY: Mfugaji wa kwanza kugombea ubunge Chalinze

MATUMAINI makubwa ya kuondoa changamoto na umasikini uliokithiri Chalinze, umewafanya wananchi wengi wa rika zote katika jimbo hilo, kuumunga mkono mgombea wa ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

 

10 years ago

Vijimambo

Mjue DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yakeDk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.Baada ya darasa la nne, Dk Slaa alijiunga na Seminari ya Dung’unyi mkoani Singida mwaka 1966-1969 na kusoma sekondari, kisha akaendelea na masomo...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUE EDWARD LOWASSA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAYEBEBA BENDERA YA UKAWA

Edward Ngoyai Lowassa Alizaliwa Agosti 26, 1953,na kukulia Katika Kijiji Cha Ngarash huko Monduli,akiwa ni mtoto Mkubwa wa Kiume Kwa Mzee Ngoyai Lowassa.

Alisoma Shule Ya Msingi Ya Monduli (1967-1971), Shule ya Sekondari Arusha Kwa Kidato Kwa Kwanza hadi cha nne (1967-1971) na Shule ya Sekondari Milambo kwa kidato cha Tano Na Sita (1971-1973).

Ana Shahada ya Elimu na Sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es
Salaam Aliyohitimu Mwaka 1977, Na Shahada ya Uzamivu Katika Maendeleo kutoka Chuo Kikuu...

 

11 years ago

Habarileo

Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yaahidi amani, maendeleo Chalinze

>Mwenyekiti wa Baraza la Vijana  (Chadema) Mkoa wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo kumchagua Mathayo Torongey katika uchaguzi mdogo unaotarajia kufanyika mapema Aprili 6, mwaka huu

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani