Chadema yaahidi amani, maendeleo Chalinze
>Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Chadema) Mkoa wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo kumchagua Mathayo Torongey katika uchaguzi mdogo unaotarajia kufanyika mapema Aprili 6, mwaka huu
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-X9YOr0K4kSU/XlabsjmLmtI/AAAAAAALfnA/kEW2KTeM1iEhbgebDNgsk40t52fTWPixACLcBGAsYHQ/s72-c/2f26c27f-081f-4f28-8350-68dc20257ed6.jpg)
Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya yaahidi Kupeleka ujumbe kwa waumini.
Viongozi hao
Wameyasema hayo walipokuwa semina ya kuelimisha jinsi ya kujikinga na uhalifu wakati wa kutumia huduma za mawasiliano ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Sirubiniki Mjanja haingizwi chaka inayolenga katika kuelimisha umma ya...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
CHADEMA yaahidi kushinda Mbeya Vijijini
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mbeya Vijijini, kimeahidi kutwaa ushindi mchana kweupe katika marudio ya uchaguzi wa udiwani kata ya Santilia. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu...
10 years ago
MichuziMH. RIDHIWANI KIKWETE KUHARAKISHA MAENDELEO CHALINZE
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Ridhiwani Kikwete kuharakisha maendeleo Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.CCM imepata ushindi wa Vijiji vyote katika 74 katika jimbo hilo.
Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa.
Mkazi wa...
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mbunge ahimiza wasomi kusaidia maendeleo Chalinze
WASOMI wametakiwa kutumia elimu yao kukabili changamoto za kimaendeleo kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Chadema wamtafuta mgombea wa Chalinze
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza mchakato wa kutafuta mgombea wa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Chalinze, ambapo jana fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia chama hicho zilianza kutolewa.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Mjue Torongey chaguo la Chadema Chalinze
11 years ago
Habarileo14 Mar
Mgombea Chadema awekewa pingamizi Chalinze
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chadema, Mathayo Torongey, amewekewa pingamizi na mgombea wa CUF, Fabian Skauki, akidaiwa kuwa pamoja na mambo mengine, hajui kusoma na kuandika Kiswahili wala Kiingereza. Mgombea mwingine katika uchaguzi huo ni Ridhiwani Kikwete, ambaye anagombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRAT4DAiPkgp1*sAFEJEzgrED1HSpcFIsmEHrHbi-ZscyJl9NRnTL-ZoPXHfX83hcq2hx7rKCJ6J-kc3U1iCy-1cH/MakamukuhutubiaMiono.jpg?width=650)
CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE