Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani Kikwete kuharakisha maendeleo Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.CCM imepata ushindi wa Vijiji vyote katika 74 katika jimbo hilo.

 Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa.

IMG_5789

 Mkazi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE KUHARAKISHA MAENDELEO CHALINZE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.CCM imepata ushindi wa Vijiji vyote katika 74 katika jimbo hilo. Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa. Mkazi wa Kijiji...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake, Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina la Vijana wa CCM wa bodaboda...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE NDIYE MBUNGE JIMBO LA CHALINZE

Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete. MATOKEO rasmi ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze yametangazwa ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata jumla ya kura 20812, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kikipata kura 2628 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 473, AFP 78 na NRA 59. Kwa matokeo hayo, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze kwa asilimia 86.5 kupitia kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani Kikwete aanza kampeni kuwania Chalinze

Ridhiwani KikweteWAKATI leo ni siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, mgombea wa ubunge katika uchaguzi mwingine mdogo jimboni Chalinze, Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete jana alianza kwa kishindo kampeni zake.

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE


Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa Wananchi wa Kijiji cha Kibindu,Kata ya Mbwewe,Bagamoyo leo Machi 16,2014.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI,CHALINZE.  Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana na wanakijiji wa kijiji cha Kwamsanja,wakati alipofika kwa ajili ya kuzungumza nao na kuwaomba kura katika...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ajiandikisha Msoga

 Mwandikishaji Msaidizi katika kituo cha kupiga kura kituo cha Afya Msoga Bi.Happyness Thomas Misana akimkabidhi fomu Mbunge wa Chalinze Mh.Ridhiwani Kikwete wakati mbunge huyo alipojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura leo.Afisa TEHAMA kutoka Tume ya Taisa Ya Uchaguzi Bwana SAnif Khalfan akimkabidhi Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete kutambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani