Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya yaahidi Kupeleka ujumbe kwa waumini.

Kamati ya Amani mkoa wa Mbeya wameiahidi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)kupeleka elimu ya kujikinga  na uhalifu  wanapotumia huduma za mawasiliano  kwa waumini  wao kama walivyoumbwa ili ikiwa ni sehemu ya mchango wao kwa ustawi  wa nchi yetu
 Viongozi hao

Wameyasema hayo  walipokuwa  semina  ya kuelimisha jinsi ya kujikinga na uhalifu wakati wa kutumia huduma za mawasiliano  ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Sirubiniki Mjanja  haingizwi  chaka  inayolenga  katika kuelimisha umma ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ujumbe kwa wanachama, wadau na waandishi wote wa mkoa wa Mbeya.

Ndugu wanachama, Wadau na wandishi wote wa Habari,   Kuna ujumbe unaozunguka miongoni mwetu, kwa wandishi wa habari wasiokuwa wanachama na kwa wadau wetu ukieleza kwamba Mbeya Press Club (MBPC) imeandaa safari ya wanachama wake kutembelea nchi Jirani ya Malawi.  Ujumbe huu unawataja baadhi ya wanachama wa MBPC kuwa ndio waratibu wa Safari hiyo, huku ukiwataka wanachama na wadau kuchangia safari hiyo fedha kiasi cha shilingi 200,000 (Laki mbili) kwa kila mwanachama na mwandishi wa habari...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA

  Wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi ya pamoja yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kati yao na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajiwa kuchezwa mwishoni mwa mwezi huu. 
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Afungua Mkutano wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Viongozi wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro).

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AISHUKURU NA KUIPONGEZA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA MWANZA

Kuona jinsi Rais Kikwete alivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamanda Mpinga atembelea kambi ya timu ya kamati Amani ya viongozi wa dini mkoa wa Dar

Kamanda Mpinga, akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.

*Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa Arusha mwezi ujao

Mchungaji wa Kanisa la Penuel Healing Ministry Ubungo Kibangu, Mch. Alphonce Temba (kulia) akimramba chenga Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mashariki ya Pwania, George Fupe, wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.

 Kamanda Mpinga, akishiriki dua ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini, baada ya mazoezi yao timu hiyo yanayoendelea kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki na timu ya Kamati ya Amani ya Mkoa wa Arusha unaotarajia kuchezwa mwezi ujao jijini Arusha na ule wa kirafiki kati yao na timu ya Mabalozi hivi karibuni. Kamanda Mpinga alifika kuwatembelea wachezaji hao kujionea maendeleo ya mazoezi yao.   Kamanda Mpiga...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA BENKI YA NMB YAMWAGA MADAWATI 84 SHULE ZA MSINGI ITIJI NA IVUMWE JINI MBEYA.

   Katibu wa Mbunge viti maalum, Tumaini Mwakatika akizungumza jambo katika hafla ya utolewaji wa madawati 84 kwa shule za msingi Ivumwe na Itiji jijini mbeya kwa niaba ya mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya,Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kushirikiana na Benki ya NMB.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB, walimu pamoja na Katibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Ivumwe Jijini Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi ...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yaahidi amani, maendeleo Chalinze

>Mwenyekiti wa Baraza la Vijana  (Chadema) Mkoa wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo kumchagua Mathayo Torongey katika uchaguzi mdogo unaotarajia kufanyika mapema Aprili 6, mwaka huu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani