Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATHAYO TORONGEY: Mfugaji wa kwanza kugombea ubunge Chalinze

MATUMAINI makubwa ya kuondoa changamoto na umasikini uliokithiri Chalinze, umewafanya wananchi wengi wa rika zote katika jimbo hilo, kuumunga mkono mgombea wa ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mfugaji kumvaa Ridhiwani ubunge Chalinze

Mfugaji wa ng’ombe katika Kijiji cha Ubena, Mathayo Tolongey ameshinda katika kura za maoni kuwania ubunge kupitia Chadema katika Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Michuzi

watano wachukua fomu kugombea ubunge jimbo la chalinze


Jumla ya wagombea watano wamechukua fomu za kuwania Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Bagamoyo,  Zoezi  litafungwa rasmi tarehe 12 Machi 2014 saa kumi kamili alasiri, kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Uchaguzi wa Jimbo la Bagamoyo, David Shija.
Wagombea hao ni:-
Mathayo Torongey (CHADEMA) Phabian Skauki wa (CUF) Vuniru Hussein (NRA)  Ramadhan Mgaya (ASP)  Ridhiwani Kikwete (CCM)

 

11 years ago

Mwananchi

Mjue Torongey chaguo la Chadema Chalinze

>Mathayo Torongey ndiye mgombea mteule wa nafasi ya ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Torongey awataka Chalinze kuchukua hatua

ALIYEKUWA mgombea ubunge Chalinze kwenye uchaguzi mdogo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mathayo Torongey, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuacha kulalamika, badala yake wachukue hatua katika uchaguzi ujao....

 

11 years ago

GPL

WENGI WAMPA UBUNGE RIDHIWANI CHALINZE

Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwan Kikwete. WANANCHI wa vijiji kadhaa vilivyomo katika Jimbo la Chalinze, ambalo Aprili 6, mwaka huu litafanya uchaguzi mdogo wa Ubunge, wamempa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Ijumaa katika vijiji saba vya jimbo hilo, wengi wa waliohojiwa kuhusu mshindi wa nafasi hiyo,...

 

9 years ago

Michuzi

KAMAPENI ZA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA

Na John Gagarini, Chalinze HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo imeshauriwa kuisitisha mikata ya umiliki wa ardhi iliyochukuliwa na wawawkezaji ambao hawajaiendeleza ardhi hiyo kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15 wairejeshe kwenye serikali za vijiji kwa ajili ya matumizi ya umma. Hayo yalisemwa na mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete wakati wa mikutano ya hadhara ya kampeni kwenye Vijiji vya Makombe na Kinzagu kwenye kata ya Lugoba na kusema...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE

 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa na washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhan Maneno pamoja na Imani Madega.   Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete akiwa ameambatana na  washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,...

 

11 years ago

Habarileo

Mbivu, mbichi ubunge Chalinze leo

BAADA ya kampeni zilizodumu kwa mwezi mmoja, hatimaye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo, Pwani unatarajiwa kufanyika leo ili kumpata mrithi wa Said Bwanamdogo aliyefariki dunia Januari 22 mwaka huu kutokana na maradhi.

 

11 years ago

Michuzi

Ridhwani achukua fomu za Ubunge Chalinze

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhwan Kikwete akionesha fomu aliyochukua ya kugombea ubunge jimbo la hilo kulia kwake ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Kongo Kamate na Mbunge wa viti maalum wa jimbo la Charinze Subira Mgalu. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan Kikwete akijaza fomu ya kugombea jimbo hilo.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani