Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjukuu wa Mandela matatani

Mjukuu wa hayati Nelson Mandela, Mandla Mandela , ameshitakiwa kwa kosa la kumshambulia mtu na kumtisha kwa bunduki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJUKUU WA MANDELA KUFUNGWA, AU KULIPA FAINI

Mandla Mandela, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Mandla akiwa na babu yake Mzee Nelson Mandela. MANDLA MANDELA, mjukuu wa kwanza wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amehukumiwa kwenda jela au kulipa faini ya kwa kumshambulia na kumtishia kwa bastola mwalimu wa shule moja mwaka 2013. Mandla, ambaye ni mbunge wa… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mjukuu wa hayati mzee Mandela ahukumiwa

Mjukuu wa hayati Mzee Nelson Mandela amepatikana na hatia ya kusababisha majeraha

 

11 years ago

Michuzi

Mjukuu wa Mandela aeleza babu yake alivyomfunda

Wakati wa mahojiano kati ya Ndaba Mandela na Joseph Msami wa Idhaa hii
Nelson Mandela, ametutoka lakini uwepo wake utaendelea kuwa dhahiri . Hilo limedhihirika baada ya mjukuu wake Ndaba Mandela kuzindua kampeni ya Linda Lango iliyoko chini ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Ukimwi UNAIDS ambapo Ndaba ni msemji wa kampeni hiyo inayotumia michezo kuhamasisha jamii hususani vijana.
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii Ndaba anaanza kwa kujibu swali kwanini...

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba

Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela

 

10 years ago

Raia Tanzania

Watanzania, majuto ni mjukuu!

UKIWAANGALIA Watanzania wa leo utaona kwenye fikra zao, nyuso zao na hisia zao utaona wazi kabisa kuwa iko kiu ya mabadiliko. Watu wanataka mabadiliko wamechoka na mazoea waliokuwa nayo na ambayo yanaendelea kuwafanya wawe dhalili.

Kila mtu anatamani mambo yaache kuwa na hali ilivyo sasa, anatamani yachukue mkondo mpya na njia mbadala ambayo inaweza kuwa na matumaini. Katika hali hii unatarajia kuwa wao ndiyo wawe chemichemi na chachu ya mbadiliko.

Bahati mbaya kwetu ni kwamba,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Babu ambaka mjukuu wake

MTOTO wa miaka saba wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni, Tanga amebakwa na babu yake na kumsababishia maumivu makali na kumwagika damu nyingi. Tukio hilo...

 

9 years ago

Vijimambo

Mjukuu wa Morgan freeman auwawa

Morgan freeman na mjukuu wake Hines
Mjukuu wa kambo wa nyota wa filamu nchini Marekani Morgan Freeman amedungwa kisu hadi kufa karibu na nyumbani kwake huko New York.

E'Dena Hines alipatikana akiwa na majeraha ya kisu kifuani nje ya nyumba yake katika barabara ya West 162 mapema siku ya jumapili.

Marehemu mwenye umri wa miaka 33 alichukuliwa na ambulansi lakini akatangazwa amefariki katika hospitali ya Harlem.

Lamar Davenport mwenye umri wa miaka 30 kutoka mjini New York alishtakiwa kwa makosa...

 

10 years ago

Habarileo

Babu alawiti mjukuu wa kike

POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13.

 

11 years ago

GPL

WAMSULUBU MJUKUU, WATIWA MBARONI

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KIBANO! Jeshi la Polisi Changombe, Dar linamshikilia mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Neema na babu Ramadhan kwa RB namba CHA/RB/4645/2014 UNYANYASAJI WA MTOTO wakidaiwa kumsulubu mjukuu wao (jina linahifadhiwa kimaadili). Mke na mume wanaodaiwa kumfanyia ukatili mtoto huyo Tukio la kuwatia nguvuni wahusika hao lilijiri Mei 29, mwaka huu maeneo ya Buza jijini Dar, baada ya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani