Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjumbe: Hatuwezi kutunga Katiba bila Ukawa

Siku chache baada ya wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuondoka bungeni, wajumbe waliobakia wameambiwa wasijidanganye kuwa wanaweza kutengeneza Katiba bila kuhusisha pande zote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Bunge la Katiba bila Ukawa

BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa).

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bila Ukawa hakuna Katiba’

Wakati kukiwa na juhudi za watendaji wa Bunge maalumu la Katiba kuwashawishi viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wawaruhusu wabunge wao kurejea bungeni wakati vikao vya Bunge hilo vitakavyoanza Agosti 5 mwaka huu, bado utata umegubika kuhusu uwezekano wa kupatikana katiba hiyo kwa wakati

 

11 years ago

GPL

NI KWELI BILA UKAWA BUNGE LA KATIBA HALITAATHIRIKA?

Kikundi cha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Wakati vikao vya Bunge Maalum la Katiba vikiendelea tena mjini Dodoma wiki hii bila ya kuwepo kwa kikundi kinachojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samweli Sitta amesema amekuwa akisisitiza kuwa bunge hilo halitaahirisha shughuli zake hadi hapo muda wa siku 60 waliopewa utakapokamilika. Sitta alisema rasimu hiyo ina mambo mengi mazuri lakini pia...

 

11 years ago

Mwananchi

Katibu: Sijasema bila Ukawa hakuna Katiba

>Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahya Khamis Hamad amefafanua kauli yake aliyoitoa wiki iliyopita alipozungumza na Mwananchi akisema: “Sijasema bila Ukawa hakuna Katiba.”

 

11 years ago

Mwananchi

Katibu: Bila Ukawa hakuna Katiba Mpya

>Wakati umesalia mwezi mmoja na siku 10 kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza tena vikao vyake mjini Dodoma kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya itakayowaongoza Watanzania kwa zaidi ya miaka 50 ijayo, Mtendaji Mkuu wa Bunge hilo amesema kuwa bila kundi la Ukawa kurejea na kushiriki hatua zote haitawezekana kupata Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa

Zikiwa zimebaki wiki mbili kuanza vikao vyake, baadhi ya wanasheria wamehoji uhalali wa Bunge hilo kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba bila ya kuwapo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

11 years ago

GPL

KUPITISHA RASIMU YA KATIBA BILA UKAWA KUNA MADHARA YAKE

Mwandishi Eric Shigongo WIKI ijayo siku kama ya leo Jumanne, Bunge Maalum la Katiba linatarajiwa kuketi mjini Dodoma kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba kukiwa na wasiwasi kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawataingia kikaoni. Ninachosema ni kwamba Ukawa kukataa kurejea katika vikao vya Bunge hilo kwa kushikilia msimamo wa kutaka ijadiliwe Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Sinde...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hatuwezi kuadabisha viongozi bila kubadili chama!

NAJUA kwa wengi ni vigumu kukubali hili. Lakini ukweli mtupu ni kwamba kama tunataka mabadiliko ya kweli  tunahitaji kubadili  mfumo mzima wa  uongozi wa nchi yetu kupitia sanduku la kura. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatuwezi kubadili mfumo bila kubadili watawala

NINA heshima kubwa sana kwa mwandishi nguli wa makala, Paschally Mayega, maarufu zaidi kama Mwalimu Mkuu wa Watu. Ni mwandishi asiyeogopa kuandika kile kilichojificha katika uvungu wa mtima wake. Lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani