Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKALI WA NYIMBO ZA QASWIDA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Feisal Abdul Swaleh maarufu kwa jina la Wahizr au Fei akifanyiwa mahojiano na Global TV Online leo. MWANAMUZIKI wa Qaswida, Feisal Abdul Swaleh maarufu kwa jina la Wahizr au Fei leo ametembelea studio za Global TV Online zilizopo Mwenge-Bamaga, Dar na kufanyiwa mahojiano na tv hiyo. Fei katika pozi na mmoja wa marafiki zake. Fei ambaye pia ni mwalimu wa Madrasa amefunguka mambo mbalimbali katika muziki wa Qaswida ikiwemo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

10 years ago

GPL

MALAIKA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Diana Malaika Exavery Clavery 'Malaika', akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. ...Akiimba wimbo wake wa Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.…

 

10 years ago

GPL

PNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Pancras Ndaki 'PNC' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. PNC akiongea jambo.…

 

10 years ago

GPL

JUX ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Jux akipozi katika studio za Global TV Online leo. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Jux.…

 

11 years ago

GPL

PRODYUZA BAUCHA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza mkongwe nchini, Ally Baucha akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Mkongwe huyo ndiye aliyezalisha ngoma kali kama Neila, Fid Q.  Com na Usiulize wa Rado. ...Akipiga picha na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima.…

 

10 years ago

GPL

TUNDU LISSU ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Mh. Tundu Antipas Lissu akiwa katika ofisi za Global Publishers. Mh. Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers, hawapo pichani. Mh. Tundu Lissu akiendelea kufafanua jambo kwa waandishi wa habari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani