GLOBAL TV ONLINE:AZZY,MKALI WA HIP HOP AMBAYE NI MLEMAVU
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL22 Jun
11 years ago
GPLMWANA HIP HOP DARASA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE USIKU HUU
Mwana Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' pamoja na Presenta Pamela Daffa 'The Mic Queen' ndani ya Global TV Online. Darasa katika pozi. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kwa miondoko ya Hip hop, Shariff Thabeet 'Darasa' leo yupo ndani ya studio za Globa TV Online akifanya mahojiano na Presenta mkali, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. (PICHA NA CLARENCE MULISA /… ...
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
Rapper Farid Kubanda a.k.a Fid Q akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers Ltd. Fid Q akiwa na waandishi wa Championi, Sweetbert Lukonge (kulia) na Nicodemus Jonas.…
11 years ago
Mwananchi18 May
Rapa wa Hip Hop mwenye “masters” ambaye hataki kazi
Kwa kawaida vijana wengi Afrika, hususan Tanzania wanapohitimu elimu ya juu, jambo ambalo hulifikiria ni kutafuta ajira.
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
Wanamuziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na Kala Jeremiah wakiwa katika studio za Global TV Online leo. Roma Mkatoliki (wa kwanza kulia) akijibu swali na mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfa (kushoto). Kati ni Kala Jeremiah. Mou Alfa (kushoto) akiwahoji wanamuziki Kala na Roma ndani ya studio za Global TV…
9 years ago
VijimamboSWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP
Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...
10 years ago
GPLAZZY MLEMAVU MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU
Msanii wa Hip Hop, Ahazi Eliya a.k.a Azzy akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Azzy akiwa katika pozi kabla ya mahojiano na Global TV Online. Azzy akielezea historia yake ndani ya Global TV Online.…
10 years ago
GPLMKALI WA NYIMBO ZA QASWIDA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
Feisal Abdul Swaleh maarufu kwa jina la Wahizr au Fei akifanyiwa mahojiano na Global TV Online leo. MWANAMUZIKI wa Qaswida, Feisal Abdul Swaleh maarufu kwa jina la Wahizr au Fei leo ametembelea studio za Global TV Online zilizopo Mwenge-Bamaga, Dar na kufanyiwa mahojiano na tv hiyo. Fei katika pozi na mmoja wa marafiki zake. Fei ambaye pia ni mwalimu wa Madrasa amefunguka mambo mbalimbali katika muziki wa Qaswida ikiwemo...
9 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania