Mke wangu nilimpatia club, mazingira ambayo wengi wanadhani si mazuri kwa mwanamke — Mr Blue
Mr Blue a.k.a byser ametumia wimbo wake mpya kutoa ujumbe kwa mashabiki ambao hawajaoa au kuolewa, kuwa mtu akiamua anauwezo wa kumbadilisha mtu na kumfanya astahili kuwa mke au mme bila kujali aina ya maisha aliyopitia. Byser amesema kuwa wimbo wake mpya ‘Baki na Mimi’, unagusa moja kwa moja maisha yake na mke wake Warda. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mr Blue: Nilimtoa mke wangu klabu za pombe
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer, maarufu Mr. Blue, ameweka wazi namna alivyombadilisha kimaisha mke wake, Warda baada ya kumtoa kwenye klabu za usiku.
Mr. Blue, anayetamba na wimbo wa ‘Baki na Mimi’, alisema wimbo huo unaeleza maisha halisi ya yeye na mke wake huyo tangu walipokutana hadi walivyoishi na kufikia maamuzi ya kuoana na kuanzisha familia ambayo kwa sasa wana watoto wawili.
“Wimbo huu unagusa maisha ya mimi na mke wangu Warda kwa...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
‘Tutaweka mazingira mazuri kwa wawekezaji’
10 years ago
Habarileo03 Jul
ZEC kuweka mazingira mazuri kwa walemavu
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imesema itahakikisha inaweka mazingira mazuri kwa watu wenye ulemavu kushiriki katika Uchaguzi Mkuu na kuondoa vikwazo vyote vinavyokwamisha kutimiza haki ya msingi ya kidemokrasia.
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Ifahamu njia mpya ya kuzika mwili ambayo ni rafiki kwa mazingira
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016
Tayari tumemalizana na mwaka 2015 na sasa tupo katika mwaka 2016, kila mtu anapanga mipango yake katika huu mwaka kuhakikisha kila kitu chake kinatimia. Wakati watu wakiwa wanapanga mipango yao hiyo, katika soka haya ndio matukio 10 ambayo watu wa soka wanasubiri kuyaona yakitokea kwa mwaka 2016. 1- Tuzo ya mchezaji bora wa Dunia Ballon […]
The post Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Kujenga mazingira mazuri kazini
KUNA vitu mbalimbali ambavyo kiongozi au meneja anaweza kuvifanya ili kuweka mazingira ya kazi katika hali nzuri. Miongoni mwa vitu hivyo ni kujenga kuaminiwa na wale anaowaongoza. Kujenga uaminifu ni...