Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mr Blue: Nilimtoa mke wangu klabu za pombe

blueNA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer, maarufu Mr. Blue, ameweka wazi namna alivyombadilisha kimaisha mke wake, Warda baada ya kumtoa kwenye klabu za usiku.

Mr. Blue, anayetamba na wimbo wa ‘Baki na Mimi’, alisema wimbo huo unaeleza maisha halisi ya yeye na mke wake huyo tangu walipokutana hadi walivyoishi na kufikia maamuzi ya kuoana na kuanzisha familia ambayo kwa sasa wana watoto wawili.

“Wimbo huu unagusa maisha ya mimi na mke wangu Warda kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mke wangu nilimpatia club, mazingira ambayo wengi wanadhani si mazuri kwa mwanamke — Mr Blue

Mr Blue a.k.a byser ametumia wimbo wake mpya kutoa ujumbe kwa mashabiki ambao hawajaoa au kuolewa, kuwa mtu akiamua anauwezo wa kumbadilisha mtu na kumfanya astahili kuwa mke au mme bila kujali aina ya maisha aliyopitia. Byser amesema kuwa wimbo wake mpya ‘Baki na Mimi’, unagusa moja kwa moja maisha yake na mke wake Warda. […]

 

10 years ago

Bongo5

Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!

Rapper Mabeste ameshare kile alichoita “ukweli wa kuuguwa kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!” Mabeste akiwa na mke wake Lisa na mtoto wao Kendrick Hivi karibuni rapper huyo alielezea kwa kirefu jinsi mke wake Lisa Karl Fickenscher alivyougua kwa muda mrefu mara baada ya kujifungua mtoto wao Kendrick, kiasi cha kufikiri […]

 

9 years ago

Bongo5

Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego

Chagga-na-Nay

Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.

nay-na-shamsha

Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.

Chagga-na-Nay
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego

Siku...

 

11 years ago

GPL

MKE: MUME WANGU AKACHUKUA NYUNDO...

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro DAH! Inasikitisha sana jamani. Faustina Selali, 38, mkazi wa Mgeta, Mvomero mkoani hapa, yupo kwenye mateso makali akijiuguza kutokana na kipigo alichopata kutoka kwa mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina la Lugasiani John Miasiku, kisa kikiwa ni mumewe huyo kutaka kuoa mke wa pili. Faustina Selali,akiwa katika maumivu makali baada ya kushambuliwa na mumewe. Mwanamke huyo amelazwa katika wodi...

 

10 years ago

GPL

MKE WANGU ANGEIKUTA ILE SIMU

Baada ya kupita miezi kadhaa bila ya kwenda kusali wala kumkumbuka Mungu jamaa yangu siku hiyo roho ikaanza kumsuta. Basi Jumamosi karudi nyumbani mapema akawa na mkewe wanaangalia TV mpaka mkewe akawa anashangaa na kumuuliza, “Vipi unaumwa?” Jamaa akajibu, “Hapana mimi mzima kabisa, ila tu nataka kulala mapema ili kesho niwahi kanisani”. Kweli Jumapili asubuhi mapema jamaa akaamka na kuanza kufanya...

 

11 years ago

GPL

MBASHA: GWAJIMA NIACHIE MKE WANGU

Na Makongoro Going’
MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat  Gwajima amuachie mke wake, yaani Flora. Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha kwenye pozi la kimahaba. Akizungumza kwa machungu kwa njia ya simu kutokea alikojihifadhi huku...

 

9 years ago

GPL

MKE: WOLPER NIACHIE MUME WANGU!

Musa Mateja na Imelda Mtema KIMENUKA! Siku chache baada ya kumwanika mchumba’ke, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye tayari amemvisha pete ya uchumba, mambo yamekuwa siyo mambo kwa staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe kutokana na mke wa jamaa huyo kuibuka na kumtaka amwachie mumewe. Chanzo makini kimelieleza Ijumaa Wikienda kwamba, baada ya habari na picha za Wolper na Mkongomani huyo kuripotiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Ruby Band – Mke Wangu

Ruby Band

Wimbo mpya kutoka kwa Ruby Band unaitwa “Mke Wangu”, Studio Chaidaz Records Producer Abdy Dady

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani