MKE WANGU ANGEIKUTA ILE SIMU
![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYrMVgTYb77wOGIDf7qhEtyxGLULU*DphKp66ZBstq6q9pTIaNXi4SDvhMNY1YbLc7zPW2QDXtEEcuIZMgNloba3/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
Baada ya kupita miezi kadhaa bila ya kwenda kusali wala kumkumbuka Mungu jamaa yangu siku hiyo roho ikaanza kumsuta. Basi Jumamosi karudi nyumbani mapema akawa na mkewe wanaangalia TV mpaka mkewe akawa anashangaa na kumuuliza, “Vipi unaumwa?†Jamaa akajibu, “Hapana mimi mzima kabisa, ila tu nataka kulala mapema ili kesho niwahi kanisaniâ€. Kweli Jumapili asubuhi mapema jamaa akaamka na kuanza kufanya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
9 years ago
Mwananchi17 Sep
UCHAMBUZI LIGI KUU BARA: Yanga itakuwa ile ile na mafanikio zaidi
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-frRQoYBPWu0/VJlMmgKeWDI/AAAAAAAABwo/KdEXivZ29KU/s72-c/page%2B24.jpg)
10 years ago
Habarileo16 Jun
Kikwete: Sera ya Nje Tanzania itabakia ile ile
RAIS Jakaya Kikwete amesema siasa za nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni haitabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani baadaye mwaka huu.
10 years ago
VijimamboMAAJABU YA KIFO CHA MAMA YAO AKINA MWAIBALE ALIFARIKI SIKU ILE ILE ALIYOZALIWA
Asubuhi ya Disemba 13, 1940 huko katika kijiji cha Katumba wilayani Rungwe, familia ya mzee Mafumu Mlagha ilikuwa katika furaha kwa kumpata mtoto wa kike baada ya kiu ya muda mrefu ya kuwa na mtoto wa kike.
Ilikuwa ni siku ambayo familia hii ilibahatika kuwa na mtoto wa kike waliyempa jina la Twitikege.
Anga la kijiji cha Katumba lenye jua lililowakia mandhari nzuri ya kijani kwenye kijiji kilichoshamiri kilimo cha Migomba na Chai binti wa kike
alizaliwa,Ndege wa angani na...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-Cbz8fPHadls/U_yE0rgkbxI/AAAAAAAABiw/ghGkaz_N370/s72-c/PAGE%2B24.jpg)
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Simba gonjwa ile ile, Yanga leo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75rhdGMOWQ-FoIN3wKIspo5gTukkvNhoO3hH518RxkbAb3Hk81WtMXtY3bz*qLQUd8JAPk7YKnvrSbddPu*oEfAu/gwajima.jpg)
MBASHA: GWAJIMA NIACHIE MKE WANGU