Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkemia Mkuu wa Serikali kuwachukulia hatua wadau wasiosajiliwa

Profesa Manyele_0

Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele. (Picha na Maktaba).

Na Beatrice Lyimo, Maelezo

Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imewataka wadau wote wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa kemikali kujisajili kabla ya hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.

Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es salaam na Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga kuwaelimisha wadau wa uuzaji na usafirishaji kuhusiana na usimamizi wa kemikali hatari na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Serikali kuwachukulia hatua wanaohatarisha amani.

Na Lilian Mtono,

Dar Es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imesema haitavumilia kuona matukio yanayofanyika kinyume cha sheria na taratibu za nchi yanayolenga kuhatarisha amani bila kuchukua hatua dhidi ya wahusika kwa madai kuwa zinakiuka haki za binadamu.

 

Imesema kumekuwepo na ongezeko la matukio ya kisiasa yanayofanyika kinyume cha taratibu zinazotakiwa hivyo kuisukuma Serikali kuchukua hatua ambazo baadae hudaiwa kuwa zimevunja haki za binadamu.

 

Hayo yamebainishwa kwenye viwanja vya...

 

10 years ago

StarTV

Upotevu wa dawa, Serikali kuwachukulia hatua wanaosababisha.

Na Abdallah Tilata,

Mwanza.

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Kebwe Steven Kebwe amesema serikali itawachukulia hatua viongozi wa mikoa na wilaya zote nchini watakaoshindwa kudhibiti mianya ya upotevu wa dawa zinazosambazwa katika maeneo yao.

 

Takwimu zinaonyesha asilimia 40 ya dawa zinazopelekwa katika hospitali mbalimbali nchini zinafikia kwenye mikono isiyo salama hali inayoendelea kuigharimu serikali kuagiza dawa nje ya nchi.

 

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta...

 

10 years ago

StarTV

Awamu ya tatu TASAF, Serikali kuwachukulia hatua wenye ubinafsi.

Na Richard Katunka,

Kigoma.

Serikali inakusudia kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaotajwa kuvuruga mpango wa TASAF awamu ya Tatu kwa maslahi yao binafsi.

 

Katika mafunzo maalumu kwa viongozi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma juu ya utekelezaji wa malengo ya TASAF awamu ya tatu, Mkuu wa Wilaya hiyo Danny Makanga amesema zipo taarifa za baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na watendaji wasio waaminifu kutaka kuvuruga zoezi hilo kwa maslahi yao binafsi.

 

Ikiwa ni mwaka mmoja tangu...

 

9 years ago

StarTV

Serikali za Vijiji kuwachukulia hatua wazazi, walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo

Serikali za Vijiji mkoani Singida zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo hadi kuhitimu baada ya kuandikishwa kuanza elimu ya msingi pamoja na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.

Mkuu wa mkoa huo Dokta Parseko Kone ametoa agizo hilo baada ya kubainika kuwa katika Wilaya ya Mkalama pekee, jumla ya wanafunzi 383 wa shule za Msingi na Sekondari wameacha masomo yao kwa kipindi cha kuanzia Januari...

 

9 years ago

Michuzi

DAWA YA JIKO IMETHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.

JIKO ni dawa asilia inayo tolewa na duka la kuuza dawa za asili liitwalo NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Dawa hii ni ya asili kabisa isiyo na kemikali za viwandani na ambayo inatibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume ndani ya siku thelathini.
Kufahamu zaidi kuhusu tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume na jinsi dawa ya JIKO inavyo fanya kazi ya kutibu na kuponyesha tatizo la ...

 

10 years ago

BBCSwahili

IAAF kuwachukulia hatua wanariadha 28

Shirikisho la riadha duniani IAAF limesema kuwa linachukua hatua kali dhidi ya wanariadha 28 walioshiriki katika michezo ya dunia ya mwaka 2005 na 2007 baada ya kukagua upya violezo vya mikojo yao na kupata matokeo mabaya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRA kuwachukulia hatua wafanyabiashara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza, imesema haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye mitaji kuanzia sh. milioni 18 ambao hawatumii mashine za elektroniki (EFD’s) kama ilivyoagizwa na Serikali....

 

11 years ago

Michuzi

TFF KUWACHUKULIA HATUA ZAIDI WAWILI TWIGA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatafakari hatua zaidi za kinidhamu dhidi ya wachezaji wawili wa kikosi cha Twiga Stars walioondolewa kwenye timu hiyo na Kocha Rogasian Kaijage.
Kocha Kaijage aliwatimua kambini wachezaji Mwapewa Mtumwa na Flora Kayanda kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu wakati Twiga Stars ikijiandaa kwa mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia.
Twiga Stars ilipoteza mechi ya kwanza ugenini mabao 2-1 na kutoka sare ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani