Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURANGA WAPATA MSAADA WA MADAWATI

 Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Mkuranga,Benjamini Majoya akipokea msaada  uliotolewa na Kampuni ya Upendo Media Group,Benki ya Maendeleo na Fifa Flow Limited kwa  Mteule Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani,Chediel Luiza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika viwanja vya Azania Front Jijini Dar es Salaam. 
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

AFISA Elimu Sekondari,Wilaya ya Mkuranga Benjamini Majoya amekishukuru Kituo cha Radio cha Upendo pamoja na gazeti la Upendo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Kiimbwa Mkuranga yanufaika na msaada wa Madawati 100 toka KCB Benki

01

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiimbwa iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Eugema Njau(kushoto) akipokea moja ya msaada wa madawati kati ya  100 toka kwa Ofisa Masoko wa Benki ya KCB Tanzania, Margaret Mhina (kulia) Msaada huo ni mwendelezo wa mradi wao wa kugawa  madawati 1000 kwa shule za msingi. Wanaoshuhudia wapili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa kijiji Ramadhani Bakari na Meneja wa benki hiyo  tawi la Buguruni Luck Mwakitalu.

02

Ofisa wa Benki ya KCB Tanzania,Magret...

 

11 years ago

GPL

MKURANGA WAPEWA MSAADA WA KISIMA

Bi. Fatuma akizindua kisima hicho. Pembeni ni wanakijiji na waumini wakishuhudia.
   Muonekano wa kisima.…

 

10 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI 570

 Mkuu wa Wilaya  ya Busega Mkoani Mwanza Bw. Paulo Mzindakaya , akimpa mkono wa shukurani Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kulia), baada ya kukabidhi  madawati 240 yenye thamani ya shilingi milioni .... yaliyotolewa na benki ya NMB ukiwa ni msaada kwa  Shule za Msingi Nyashimo na Nasa Wilayani Busega pamoja na Sukuma na Simakitongo Wilaya ya Magu ili kupunguza uhaba wa madawati katika shule hizo. Kila shule imepata madawati sitini. Mkuu wa Wilaya  ya Musoma Mkoani Mara Bw....

 

9 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI HAI

Meneja wa benki ya NMB tawi la Hai Medadi Malisa kulia akimkabidhi mwalimu mkuu wa shule hiyo Teodora Mlayi huku akishuhudiwa na mgeni rasmi Zuhura Chikira ambaye ni katibu tawala wa wilaya ya HaiMeneja wa Benki ya NMB wilaya ya hai Medadi malisa Kushoto akiwa amekaa kwenye madawati yaliyotolewa msaada na benki hiyo kwa shule ya msingi kambi ya Raha, kulia kwake ni Afisa Elimu wa wilaya hiyo Deogracia Mapunda akifuatiwa na katibu tawala Zuhura Chikira na mwenyekiti wa shule hiyo.
 Na...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA MADAWATI SHINYANGA.

 Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw. Emmanuel Nkelebe akijiandaa kukata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 50 kwa shule ya msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo Manispaa ya Shinyanga, ikiwa ni muendelezo wa mpango wa benki hiyo katika kuboresha ubora wa elimu hapa nchini. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyeki wa Bodi ya shule hiyo Bw. Sylvester senga (wa tatu kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga  Bw....

 

10 years ago

Michuzi

Shirika la PSPF latoa msaada wa madawati jijini Dar

Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akipena mikono na Ummy Shaaban,  mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Buyuni II,  iliyoko Chanika, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakati akikabidhi msada wa madawati kwa ajili ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. (Katikati ni mwalimu mkuu wa shule hiyo,  Rogather Palla. Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Njaidi, (Kushoto), akitoa elimu kupitia vipeperushi kwa baadhi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Mkuranga amwaga msaada kwa wajasiriamali jimboni kwake

1

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,  Shabani Mandai,(katikati) akishuhudia vijana wake wakiunganisha cherahani, baada ya kupokea msaada wa cherahani 20 kwa ajili ya wajasiliamali na vifaa vya michezo kwa uongozi wa UVCCM Mkuranga.

2 (1)

Mwakilishi wa Mbunge wa Mkuranga ,Omary Kisigalile (kushoto)akimkabidhi mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai (kulia) Cherehani 20 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA

 Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina.
  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,...

 

11 years ago

GPL

TPA YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 110 KWA MKOA WA LINDI

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani