Mkurugenzi aapa ‘kutumbua majipu’
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, John Aloyce amesema amejipanga kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa wafanyakazi wa halmashauri hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Dec
Mwenyekiti aapa kutumbua majipu
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Isack Mahela, amesema atafuata nyayo za Rais John Magufuli, ili ayatumbue majipu yote yaliyoko katika halmashauri hiyo, ambayo yamekuwa yakitafuna fedha za miradi ya maendeleo bila aibu.
9 years ago
Mwananchi21 Dec
Polisi ‘yawatumbua majipu’ trafiki, yabadili mfumo
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)
Alhamisi January 07 2016 imeanza na huu uchambuzi wa stori kubwa za Magazetini, hizi ni baadhi yake na sauti niliyokurekodia. Oparesheni ya kutimua wageni wasio na vibali kuanza leo, bomoabomoa Dar kuathiri watu 200,000 ambao watakosa makazi ya kuishi… Rais Magufuli ajifungia miezi miwili Ikulu bila kusafiri, atumbua vigogo Serikalini. Serikali yapinga nauli za mabasi […]
The post Safari za nje TZ? Nauli mwendokasi? ‘Bomoabomoa’ Dar na Moshi? Rais JPM kajifungia Ikulu, ‘majipu’? (+Audio)...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Mawaziri wacharuka kutumbua majipu
MAWAZIRI wa Serikali ya Awamu ya Tano wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wameendelea kuzuru maeneo mbalimbali nchini wakitoa matamko mazito sanjari na kuendelea ‘kutumbua majipu’ .
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Yanga yatamba kutumbua majipu
NA ADAM MKWEPU
UONGOZI wa Yanga umetamba kuendelea kutumbua majipu katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuhakikisha wanashinda michezo yake mbalimbali ya ligi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro, alisema kuwa wamejiandaa kupata ushindi dhidi ya Stand United katika mchezo wao utakaochezwa leo katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, licha ya ‘figisufigisu’ wanazoendelea kufanyiwa na wapinzani wao.
“Tutaendelea kutumbua majipu, licha ya...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Magufuli aendelea kutumbua majipu
RAIS John Magufuli ameendelea kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali yenye harufu ya ufisadi, ambapo safari hii ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya kiasi cha Sh bilioni 13 katika Shirika la Reli Tanzania (TRL).
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Mawaziri wazidi kutumbua majipu
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KASI ya utendaji kazi wa mawaziri wa Rais Dk. John Magufuli, imezidi kukolea baada ya mawaziri wawili kwa nyakati tofauti kuwasimamisha kazi vigogo walio chini yao kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
Uamuzi wa kwanza umechukuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe ambaye jana alimsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mohamed Kilongo kwa kushindwa kutimiza wajibu...
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Changamoto za Rais Magufuli ‘kutumbua jipu’
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Lowassa: Mchagueni Lema amsaidie JPM kutumbua majipu