Changamoto za Rais Magufuli ‘kutumbua jipu’
Ijumaa wiki iliyopita, Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli alihutubia Bunge la Kumi na Moja ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aliposhika wadhifa huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kanisa la Pentekoste Singida lamuombea Rais Magufuli nguvu ya kuendelea kutumbua majipu nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Nathaniel Limu, Singida
KANISA la Pentekoste (FPCT) Tanzania la mjini kati Singida limetumia maadhimisho ya siku ya kuzaliwa (krismasi) kwa Yesu Kristo, kumwombea Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu aendelee kumpa afya,nguvu na ujasiri wa kutumbua majipu.
Maombi hayo maalum,yalifanywa na waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mchungaji Philipo Sospeter,kwa kile kilichodaiwa kuwa Rais Magufuli ameanza vizuri kuwatumikia...
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea Rais Dk John Pombe Magufuli, kazi ya kutumbua majipu ni ngumu na ina vikwazo vingi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Nape Nnauye aliyekuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi albam mbili za kwaya ya Wakorintho wa Pili kwenye tamasha la Krismas lililofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana, ambapo mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini Rebecca Malope amefanya onesho kubwa lililovuta hisia za mashabiki wengi waliohudhuria katika tamasha hili akishirikiana na waimbaji mbalimbali...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Magufuli aendelea kutumbua majipu
RAIS John Magufuli ameendelea kutumbua majipu katika maeneo mbalimbali yenye harufu ya ufisadi, ambapo safari hii ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya kupisha uchunguzi dhidi ya matumizi mabaya ya kiasi cha Sh bilioni 13 katika Shirika la Reli Tanzania (TRL).
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar
Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno ‘jipu’ au ‘majipu’ kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya upotevu wa makontena zaidi ya 2,000 bandarini ambayo yalitoroshwa bila kulipia ushuru, Serikali ikaamua baadhi ya watumishi wakamatwe na kesi zao zinaendelea Mahakamani… kingine kilichoripotiwa […]
The post Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar...
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Rais Magufuli kuwania muhula wa pili wa uongozi, yapi mafanikio, changamoto?
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFARIJIKA NA HATUAZA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO KATIKA BENKI YA WALIMU (MWALIMU COMMERCIAL BANK)
Rais ametoa kauli hiyo Ijumaa Juni 5, 2020 wakati akihutubia mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.“Najua chama hiki kina mali na rasilimali mbalimbali, lakini zote hizo ni mali za wanachama hivyo basi viongozi hawana budi kuhakikisha mali na rasilimali za...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.

10 years ago
Dewji Blog06 Jun
JK ataja changamoto za rais ajaye
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...