Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI MKUU WA CERT YA UINGEREZA AUNGA MKONO KAULI YA WANAUSALAMA MITANDAO

Bwana Chris Gibson, Mkurugenzi mkuu wa CERT (Computer Emergence Response Team) ya Nchini Uingereza yenye dhamana ya kubaini na kudhibiti uhalifu mtandao nchini humo ametangaza rasmi kuunga mkono kauli  ya mwaka huu ya wanausalama mitandao ambayo Niliizungumzia rasmi na kuitolea ufafanuzi katika mkutano wa wanausalama mitandao tulipo kutana jijini Johannesburg mwaka huu mwezi wa Tano mwishoni.



Kauli hii ya ushirikiano nilipo izungumzia, wataalam wote katika mkutano huo waliiunga mkono na sasa...





Habari Zinazoendana

9 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WATIKISA ANGA YA WANAUSALAMA MITANDAO

Wanausalama mtandao kote duniani walikamilisha tukio muhimu sana linalofanyika kila mwezi Oktoba (Cybersecurity Awareness Month) lenye dhamira ya kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao huku ikiaminika kupitia tukio hilo uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa asilimia kubwa. Mataifa mengi yakiwa na mafanikio makubwa kutokana na hili ambapo Tanzania pia kupitia baadhi ya Makampuni  ilipata kushiriki.


Wakati bado mafanikio mbali mbali yakijadiliwa wahalifu mtandao wamegundulika kuja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa Taleban aunga mkono amani

Kiogozi wa kundi la Taliban nchini Afghanistan Mullah Omar ameunga mkono mazungumzo ya amani na serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Mhadhiri aunga mkono Serikali Tatu

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ross Kinemo amesema Muungano wa Serikali unaopendekezwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya unafanana na muungano uliopo katika Nchi za Marekani, India, Canada na hata Uswisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aunga mkono msimamo wa Moyo

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid amesema msimamo wa mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo kuendelea kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar ndani ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kishujaa licha ya kufukuzwa CCM.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Colombia aunga mkono Bhangi

Rais wa Colombian Juan Manuel Santos amesema kuwa anaunga mkono matumizi ya bangi kwa minajili ya utabibu.

 

9 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkurugenzi Mkuu Vodacom aliyejiuzulu Aula Qatar ......Mitandao Yahusisha Kujiuzulu Kwake na Kashfa ya Upotevu wa Bilioni 700 za Kitanzania


Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Vodacom aliyejiuzulu hivi karibuni Rene Meza amepata shavu katika kampuni nyingine ya mawasiliano nchini Qatar ijulikayo kama Ooredoo Mynmar kuwa Mwenyekiti mtendaji wa tawi la Mynmar.Aidha, taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na kampuni hiyo imesema kwamba Rene Meza atachukua nafasi ya Ross Cormack ambaye anatarajiwa kuachia nafasi hiyo mwaka huu.
Kwa mujibu wa mtandao wa Afrika Kusini umebanisha kwamba Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom amejiuzulu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tutu aunga mkono sheria ya kujitoa uhai

Aliyekuwa Askofu mkuu nchini Afrika kusini Desmond Tutu amesema kuwa anaunga mkono mjadala wa kujitoa uhai,

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA AUNGA MKONO UTABIRI VIFO VYA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayoongea mara nyingi huwa yanatimia. Msanii wa filamu Bongo, Devotha Mbaga Akipiga stori na paparazi wetu baada ya mtabiri mashuhuri, Hassan Yahya Husein kutabiri vifo vya mfululizo vya wasanii ambavyo kweli vimetokea, Devotha alisema ameamini utabiri huo na kuzidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani