Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano juu ya huduma za Afya Tanzania kufanyika DC wiki hii

Marafiki wa Tanzania wanakualika kushiriki mkutano utakaoangaza juu ya changamoto na mianya iliyopo kwenye mustakabali wa huduma za Afya nchini Tanzania
Utafanyika Jumamosi hii (Aprili 11) katika Chuo Kikuu cha Howard Washington DC.
Maelezo kamili yapo kwenye tangazo hapa chini

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC. Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for...

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika alipotembelea banda la Mfuko huo, Kushoto ni Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke Ellentruda Mbogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika akifurahi jambo baada ya kupata maelezo na huduma zinazotolewa na NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KUJADILI UPANGAJI WA MIPANGO WA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Iringa, Martin Mlwafu akifungua mkutano wa kujadili upangaji wa mipango ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya katika halmashauri ya wilaya ya Iringa uliofanyika mjini Iringa leo.Afisa Uchechemuzi (Advocacy Strategies) kutoka TACOSODE, Abraham Kimuli akifafanua jambo wakati mkutano.

Mkutano huo wenye madhumuni ya kushirikiana katika matokeo ya utekelezaji wa mradi wa CEGO (citizens engaging in government oversight in health service provision ) kwa kupitia...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY MWISHONI MWA WIKI HII‏

Airtel kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money mwishoni mwa wiki hii
·  Mabadiliko yataleta ufanisi kwa huduma ya Airtel money
·  Mabadiliko yatawezesha  wateja kufanya mambo mengi na kuongeza watumiaji wa huduma ya Airtel money
· Mabadiliko yataongeza matumizi ya huduma ya Airtel money Tanzania
Dar es Salam Februri 7 2014:  Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma za kibunifu na zenye...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.......:Airtel kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money mwishoni mwa wiki hii

Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma za kibunifu na zenye ubora nchini iko katika mchakato wa kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money na kuifanya kuwa ya kisasa zaidi. Mabadiliko haya yatafanyika mwishoni mwa wiki hii tarehe 7 hadi 9 februari 2014 ambapo baada ya maboresho hayo wateja wa Airtel Money watafurahia ufanisi bora wa mtambo wa Airtel money wakati wowote watakapotaka kufanya malipo mbalimbali kwa kupitia huduma za kifedha za simu za mkononi.
Maboresho...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akifungua mkutano wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) .
Rais wa wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA), Nasra Gathoni akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) unaoendelea katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabidhi cheti mwanachama wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.Baadhi ya wadau wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani