Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA CHAMA CHA WANAFUNZI KOZI YA MAABARA ZA AFYA WARINDIMA


Msajili wa Bodi ya Maabara Binafsi za Afya akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya Nchini (TAMELASA) Uliofanyika leo Februari 22, 2020. Dar es Salaam. Kwa lengo la kuwakutanisha wanafunzi wa Taaluma ya Maabara kuwa kitu kimoja na kuzungumzia changamoto na  kuangalia wapi wanapo elekea.
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Sayansi ya MaabaraTanzania (MeLSAT). Yahaya Mnung'a akizungumza katika Mkutano wa Chama cha Wanafunzi wanaosoma Kozi ya Maabara za Afya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dokta Sira Ubwa Mamboya akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu zitakazofanyika Mikoa yote ya Zanzibar.
 Mratibu wa mtadi wa kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu Mr. Siraji M. Mtulia akitoa maelezo mafupi ya mradi huo utakaoanza kutekelezwa leo na Chama cha wanafunzi Madaktari Tanzania wakishikiana na Wizara ya Afya Zanzibar.   Mkuu wa CHUO cha (IMTU)...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]

The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya kupokea magari mawili ambayo yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la Transaid la nchini Uingereza, hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika leo asubuhi katika viwanja vya NIT. Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Lift ambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na Kampuni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA PILI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO TCRA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Meneja Wa Chama Cha Ushirika wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw.Damai J Mapunda Akitoa Muongozo Jinsi gani Mkutano Utakavyo Endeshwa  Mwenyekiti Wa Chama Cha Ushirika cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Erasmo A.Mbilinyi Akiwasilisha taarifa aliyo iandaa kwa kipindi Cha November 2013 Hadi September 2014 Katika Mkutano Huo Makamu Mwenyekiti Mpya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa chama cha wafanyakazi wa vyuo

PG4A2510

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimaiana na Mwenyekiti wa  Wanawake  wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo  vya Elimu ya Juu  (THTU) Leah  Ntara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro  kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Pili la THTU kwenye Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014.Katikati ni Mwenyekiti wa THTU, Yusufu Singo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2520

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano Mkuu wa Pili wa Chama cha Wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA ACT CHAFANYA MKUTANO MKOANI SHINYANGA


Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Anna Mngwhira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga jana kwenye viwanja vya CDT,wakati wa mkutano wa chama hicho wakutafuta uungwaji mkono kwa wananchi. (Picha na Said Powa)Wananchi wa mji wa Kahama wakiwashangilia viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CDT Mjini hapa.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo,Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Kahama Mkoani Shinyanga kwenye mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati ya CCM Taifa Bi. Khadija Hassan Aboud akimkaribisha Mbunge ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane Ofisi kuu ya CCM Zanzibar. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha FRELIMO cha Msumbiji Bi. Nyeleti Mondlane akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisi kuu ya CCM Zanzibar (kulia) Katibu wa FRELIMO Zanzibar Bw. Agostino Andrea. Kiongozi wa Ujumbe wa Chama cha FRELIMO Bi. Nyeleti Mondlane (watatu kushoto) akibadilishana mawazo na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano na Viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU)

KAMATI YA LUGHA NA UTAMADUNIKamati ya Lugha na utamaduni, Jumuiya ya Watanzania Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) inapenda kuwaalika wana DMV na wadau wote wa Lugha ya Kiswahili kwenye mkutano na viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) utakaofanyika siku ya Ijumaa Septemba 26, 2014 kuanzia saa nane mchana. Hii ni Fursa ya kukutana wa Wahadhiri wa lugha ya Kiswahili kutoka Vyuo mbali mbali hapa Marekani kwa lengo moja la kuendeleza lugha yetu ya Kiswahili. Anuani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani