MKUTANO WA DIASPORA DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-zgXuLfLfTOA/VdWC909y-CI/AAAAAAAD3oM/yyBb0cA2-qg/s72-c/41db8dd8e8ba57de3b8adf2249a0e67e.jpg)
Mhe.Mark Childress,Balozi wa Marekani nchini Tanzania katika picha ya ukumbusho na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC, Marekani.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yt_HkC4aQYU/U-y75hY_HpI/AAAAAAAF_oQ/vz1fhAn_MR8/s72-c/d78.jpg)
RAIS JK AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, WANA-DIASPORA KIBAO WAHUDHURIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-yt_HkC4aQYU/U-y75hY_HpI/AAAAAAAF_oQ/vz1fhAn_MR8/s1600/d78.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-22MDDhU8uBE/U-zGdLc612I/AAAAAAAF_pU/--gsaI5KnP4/s1600/IMG_8452.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-00qMrWRF7S0/U-y8HzpYPvI/AAAAAAAF_oY/op3fBtSV7Wk/s1600/d39.jpg)
11 years ago
Michuzi13 Aug
Rais Kikwete, Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Diaspora jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Watanzania wanaoishi ughaibuni (Diaspora) ambao umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 14 na 15 Agosti 2014. Mkutano huo ambao umeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Taasisi ya Diaspora Tanzania (Tanzania Diaspora Initiative-TDI), unalenga kuwahamasisha Watanazania wanaoishi ughaibuni wenye utaalamu na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-OiLSf5KrRvE/VcxdaWlRjpI/AAAAAAAD3H4/mYueyzMgT8A/s72-c/898eff182bcd19f96236a36c848e86a5.jpg)
DIASPORA KUTOKA MAREKANI WAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-OiLSf5KrRvE/VcxdaWlRjpI/AAAAAAAD3H4/mYueyzMgT8A/s640/898eff182bcd19f96236a36c848e86a5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xdKQKD08vQA/VcxddSoY7QI/AAAAAAAD3IA/QE4kqVtN2iA/s640/d2b02c49f75871e06147388c0fbefaf9.jpg)
11 years ago
Michuzi19 Mar
UPDATES: MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014
Kufuatia hatua ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kuunda kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force) itakayosimamia maandalizi ya Mkutano wa Diaspora mwaka huu 2014, tunapenda kuwasilisha majina ya wajumbe wa kamati hiyo kwa Watanzania waishio Uingereza.
Kamati hiyo itakuwa chini ya Uenyekiti wa Bi Mariam Kilumanga akisaidiwa na Bw. Cleopa John katika nafasi ya Katibu. Aidha Bi Maxine Brown atashughulikia mawasiliano kati ya kamati na watanzania waishio nchini...
Kamati hiyo itakuwa chini ya Uenyekiti wa Bi Mariam Kilumanga akisaidiwa na Bw. Cleopa John katika nafasi ya Katibu. Aidha Bi Maxine Brown atashughulikia mawasiliano kati ya kamati na watanzania waishio nchini...
11 years ago
Michuzi27 Feb
TAARIFA KUHUSU MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014
Siku ya Jumamosi tarehe 22 Februari 2014 kilifanyika kikao baina ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe pamoja na wawakilishi wa Watanzania kutoka vitongoji vya London na maeneo mengine nchini Uingereza.Kikao hicho kilijadili haja ya kuandaa Mkutano wa Diaspora nchini Uingereza mwaka huu 2014.
Katika majadiliano ilisisitizwa umuhimu wa kuwa na mikutano ya Diaspora hasa kwa malengo makuu yafuatayo:
• Kuwaleta karibu watanzania waishio maeneo mbalimbali nchini...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ocT2S9kvKCY/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-gv_Q-bjJxek/U97k-5zuVNI/AAAAAAAF8xc/kVi_uILid6Q/s1600/dm1.jpg)
RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC…
9 years ago
Michuzi05 Sep
KATIBU MKUU OFISI YA RAISI ZANZIBAR, MHE. SALUM MAULID AFUNGA MKUTANO WA TANZANIA DIASPORA BUSINESS CONVENTION 2015 NCHINI UINGEREZA
11 years ago
Michuzi17 Feb
TANZANIAN DIASPORA: We Tanzanians in the Diaspora , Believe That Dual Citizenship is a Great Thing for The Country
![We Tanzanians in the Diaspora , Believe That Dual Citizenship is a Great Thing for The Country. Please Support.](http://change-production.s3.amazonaws.com/photos/9/js/eb/cdJSeBVAIcMIltF-556x313-noPad.jpg?1392350851)
The government has said that it is high time now for Tanzania to allow dual citizenships so as to enable the Diasporas contribute to the country’s development in terms of income and expertise.
It has been said that many wealthy and well educated Tanzanians living abroad fail to contribute to national development because they are denied the right to dual...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania