Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa kimataifa wa Wizara ya Madini kufanyka februari 22-23 jijini Dar

KATIBU Mkuu wa Madini, Profesa Simon Msanjila ameeleza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imeandaa mkutano wa kimataifa wa Madini na Uwekezaji unaotarajia kufanyika tarehe 22 na 23 mwezi Februari 2020 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl. J. K Nyerere jijini Dar es Salaam.Amebainisha kuwa serikali imeamua mikutano hiyo kufanyika kila mwaka tarehe 22 na 23 ya mwezi Februari huku ikiwakutanisha wadau mbalimbali wa madini kutoka nchi mbalimbali duniani.Profesa Msanjila ameyasema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM KUJAILI MCHANGO WA DIPLOMASIA KATIKA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2025

Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Wizara kufikia Dira ya Taifa 2025. Mkutano huu ni wa nne kufanyika tangu ule wa kwanza uolifanyika mwaka 1999 katika hoteli ya Whitesands, Dar es Salaam.Kauli mbiu ya mkutano ni Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025. Ujumbe huo umechaguliwa kwa kuzingatia mchango wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Trévo kufanyika hoteli ya Serena jijini Dar Februari 27, 2015

Karibu kwenye mkutano wa Trevo utakaifanyika Dar es salaam tarehe 27 Feb kuanzia SAA kumi jioni.kiingilio ni bure.Karibu kusikiliza fursa ya biashara toka kwa Mark Stevens ,mwanzilishi wa Trévo . Kutakuwa na mkutano pia mkiani Arusha tarehe 28 Feb

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bw. Celestine Onditi wa pili kulia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Wadau wa Ukusanyaji Maoni Sheria ya Uongezaji Thamani Madini akiwa katika picha ya pamoja na wadau hao. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Sheria ya Uongezaji Thamani Madini , Mhandisi Hamis Komba, ( wa tatu kushoto) ni Kamishna Msaidizi wa Uchumi na Biashara Mhandisi Salim Salim, Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka wa kwanza...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano waanza jijini dar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME JIJINI DAR LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliachim Maswi (Kushoto) akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bw. Felchesmi Mramba wakati wa Halfa ya kupokea mitambo miwili ya kuzalisha umeme yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 183 itakayokwenda kufungwa Kinyerezi ambapo mitambo hiyo itaanza kufanya kazi mwezi wa kumi mwaka huu.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini...

 

10 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI WA SHIRIKA LA STAMICO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto mwenye suti ya kijivu) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Wizara ya Nishati na Madini, Habas Ngulilapi mara baada ya kuwasili kwenye banda hilo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Wizara ya Nishati na Madini yang’ara kimataifa

Pg 2Na Teresia Mhagama

WIZARA ya Nishati na Madini, imepata tuzo ya ki¬mataifa ya mwaka ya Maendeleo ya Udhibiti wa sekta ndogo ya mafuta na gesi.

Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene kwa niaba ya wizara hiyo.

Tuzo hiyo iliyotolewa na Mratibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Nishati na Madini yapata tuzo ya Kimataifa

Na Teresia Mhagama  Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya Ki¬mataifa ya mwaka ya Maende¬leo ya Udhibiti wa Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi. Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International, ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu Duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ambaye alipokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Wizara.  Tuzo hiyo, iliyotolewa na Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA BARAZA LA TISA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald Membe akizungumza wakati akifungua Barazala Wafanyakazi la Wizara ya Mambo ya Nje katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernald  akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi wakiwa katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani