Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Muleba,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Muleba, wakati walipowasili kwenye Uwanja wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MGOMBEA UDIWANI KATA YA MULEBA MKOANI KAGERA

 Picha ya aliyekuwa Mgombea wa Udiwani kata ya Muleba kwa tiketi ya chama cha CCM,enzi za uhai wake,aliyefarika jana kwa ajali ya Piki PikiMgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akitoa maneno ya pole kwa ndugu jamaa na marafiki leo asubuhi nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba,Marehemu Osward Peter Rwakabwa katika kijiji cha Kagabilo,Muleba mkoani Kagera. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili kutoa pole nyumbani kwa aliyekuwa Mgombea Udiwani wa Kata...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIRA YAKE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini.Prof Anna Tibaijuka pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera,John Mongella wakishiriki katika kazi ya utandazaji wa umeme wa REA katika shule ya sekondari ya Nyakatanga,jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera wakati wa ziara ya Kuimarisha uhai wa chama,kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 pamoja kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Umeme wa REA umesambazwa kwa kasi katika jimbo la Muleba...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE ATEMBELEA VISIWA VINNE WILAYANI MULEBA MKOANI KAGERA

 Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana,  akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mpira, mjini Muleba mkoani Kagera.Ndugu Kinana yuko katika ziara ya siku kumi mkoani Kagera ya kuimarisha na kukagua utekelezwaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2010,ikiwemo pia kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyatafutia ufumbuzi.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia wananchi katika  mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana...

 

9 years ago

Vijimambo

MAFURIKO YA LOWASSA MJINI MUSOMA, MKOANI MARA LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni,...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI WA LOWASSA MKOANI RUVUMA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma, Septemba 1, 2015, ambako kulifanyika Mkutano wa Kampeni na kunadi sera za Ilani ya Chama chake, anazoendelea nazo kwa nchi nzimaMh. Lowassa na Mh. Sumaye wakiutazama Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA CHADEMA MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Reli, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mjini jana.Baadhi ya Wakazi wa  Kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi mjini wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa reli wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa ,Mh Freeman Mbowe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani