Mkuu wa Facebook awashauri wanawake
Mwanamke anayeshikilia cheo cha juu zaidi katika kampuni ya Facebook, amewataka wanawake kuchukua hatua za kubuni mazingira ya usawa kote duniani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 May
Facebook yawapa 'uhuru' wanawake Iran
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Facebook kuwahifadhia wanawake mayai ya uzazi
10 years ago
Bongo519 Nov
Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Askofu awashauri UKAWA
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Endtime Havest, Dk Elia Mauza amewataka viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutorudi katika Bunge Maalum la Katiba hadi maoni ya wananchi yatakapoheshimiwa....
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Askofu awashauri viongozi Dar
NA REHEMA MAIGALA
MWENYEKITI wa Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, amewashauri viongozi wa Jiji la Dar es Salaam, kubadilisha ratiba ya ufanyaji wa usafi barabarani.
Alisema wafanya usafi wanatakiwa kufanya kazi zao jioni, kuanzia saa 12, ili kuepukana na msongamano mbalimbali ambayo inakwamisha utendaji wao wa kazi .
Akizungumza na Uhuru jana, Dar es Salaam, Pius alisema bado suala la usafi haliridhishi katika Jiji la Dar es Salaam, kwa sababu ya...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Katibu Mkuu afunga programu ya soka la wanawake
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel jana amefunga programu ya Live Your Goal iliyoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika Uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
9 years ago
VijimamboBAWACHA KUHAMASISHA WANAWAKE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze kushiriki katika...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Kiongozi mbio za mwenge awashauri wasomi
WASOMI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali badala ya kupoteza muda wakitafuta ajira. Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na kiongozi wa Mbio za Mwenge...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Uchaguzi Mkuu 2015 na changamoto kwa Wanawake na Vijana
Pichani juu ni baadhi ya viongozi na wajumbe muhimu katika Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi ukizungumza na vyombo vya habari kuainisha changamoto wanazokumbana nao wanawake na usawa kwenye siasa.
Kulia ni Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli (sasa ni Rais wa Tanzania) akihutubia katika mikutano yake ya kampeni 2015.
UCHAGUZI Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2015 uliokuwa na historia ya pekee kiushindani umemalizika tangu Oktoba 25, 2015....