Mkuu wa Hong Kong awapuuza waandamanaji
Mkuu wa eneo la Hong Kong amepuuza wito wa waandamanaji kuwa ajiuzulu .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Polisi,waandamanaji wapambana Hong Kong
Polisi na waandamanaji wanaodai demokrasia wamepambana mjini Hong Kong katika eneo linalozunguka makao makuu ya serikali.
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Waandamanaji,Serikali kukutana:Hong Kong
Wanafunzi wanaoongoza mgomo kwa zaidi ya wiki tatu Hong Kong leo wanatarajiwa kukutana na uongozi wa serikali kwa majadiliano
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Waandamanaji wavamia ofisi wa serikali Hong Kong
Wanaharakati wanaopigania demokrasia katika eneo la Hong Kong, wamesababishwa ofisi za serikali kufuingwa asubuhi ya leo kufuatia usiku wenye ghasia kwenye mitaa.
10 years ago
GPLVURUGU: POLISI WAPAMBANA NA WAANDAMANAJI HONG KONG
Polisi wakielekea kuwakabili waandamanaji mjiini Hong Kong. Polisi wakimtia nguvuni mmoja wa waandamanaji.…
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wafanyakazi warejea kazini Hong Kong
Wafanyakazi wa umma katika eneo la Hong Kong wamerejea kazini pamoja na kuendelea kwa maandamano zaidi ya wiki moja sasa.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Hong Kong kujadili mageuzi ya kisiasa
Baraza la kikatiba la Hong Kong limeanza kujadili mpango wa mageuzi ya kisiasa kabla ya kupigiwa kura baadaye wiki hii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania