Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa majeshi Burundi akemea wanasiasa

Mkuu wa majeshi ya Burundi Meja Jenerali Prime Niyongabo amewaonya wanasiasa kutotumia majeshi hayo kwa faida yao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana akemea wapambe kufitinisha wanasiasa

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amekemea wapambe katika siasa na kusema ndiyo chanzo cha kufarakanisha viongozi wakisaka riziki zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi:Rais Nkurunziza akemea mauaji

Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza amekemea mauaji ya aliyekuwa mkuu wa upelelezi nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia:Majeshi ya Burundi kuondolewa?

Ikiwa Majeshi ya Burundi yaliyo nchini Somalia yataondolewa, kuna hofu kuwa hatua hiyo itazorotesha mapambano dhidi ya Al Shabaab

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII AKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya Jamii Anna Maembe akizungumza na wataalamu wa wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa jana. Kushoto ni Mkuu wa wilaya Moshi Chang'a na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Herbert Bilia. DC wa Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akikabidhi hundi ya shilingi milioni 7 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo Herbert Bilia. Kulia ni Katibu Mkuu wazara ya Meanedeleo ya Jamii aliyetoa hundi hiyo.
Mkuu wa wilaya Kalambo Mkoani Rukwa Moshi Chang'a akizungumza wakati wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Majeshi anusurika jaribio la mauaji

Mkuu wa majeshi nchini Burundi Generali Prime Niyongabo amenusurika jaribio la kumuua mapema hii leo mjini Bujumbura

 

11 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ukraine ayalaumu majeshi

Waziri mkuu wa Ukraine amevilaumu vikosi vya usalama kwa kushindwa kuzuia ghasia kusini mwa mji wa Odessa

 

10 years ago

Mtanzania

Aliyezusha kifo cha Mkuu wa Majeshi kortini

yeye na wengine (1)*Ni mwanafunzi wa DIT, anyimwa dhamana

 

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

MWANAFUNZI wa Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusambaza taarifa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Davis Mwamunyange, amelishwa sumu.

Mshtakiwa huyo anadaiwa kusambaza taarifa hizo za uongo kupitia mtandao wa Facebook, huku akidai Mwamunyange baada ya kulishwa sumu alipelekwa Nairobi kwa matibabu.

Ngonyani, ambaye ni mkazi wa Magomeni Mapipa, Dar es...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Majeshi aapa kutokomeza Boko Haram

Mkuu wa majeshi nchini Nigeria Lt Generali Tukur Yusuf aapa kutokomeza kabisa kundi la Boko Haram kufikia mwisho wa mwaka huu

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Mkuu wa Majeshi wa Malawi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi na Tanzania.Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana(kushoto) na mwenyeji Jenerali Davis Mwamunyange(kulia) ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani