Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa mkoa ahimiza uwekaji akiba

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Rajabu Rutengwe ameziagiza halmashauri zote mkoani hapa kuhamasisha suala la uwekaji akiba kwa wananchi kujiletea maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkuu wa mkoa wa Tanga ahimiza utulivu siku ya uchaguzi

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vyovyote vitakavyoashiria uvunjifu wa amani mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu ngazi ya diwani, mbunge na rais.

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa redio jamii Uvinza: Mkuu wa Mkoa ahimiza weledi, uadilifu na amani

DSC_0177

Mkuu wa Wilaya  ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na wakazi wa wilaya ya Uvinza kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo cha redio jamii Uvinza FM mkoani Kigoma. Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambao ndio...

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA REDIO JAMII UVINZA: MKUU WA MKOA AHIMIZA WELEDI, UADILIFU NA AMANI‏

Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwalimu Hadijah Nyembo (kulia) akitoa nasaha zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya (wa pili kulia) kuzungumza na wakazi wa wilaya ya Uvinza kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo cha redio jamii Uvinza FM mkoani Kigoma. Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mkuu awahimiza Watanzania kuweka akiba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa mkoa wa Ruvuma kuacha matumizi mabaya hya Fedha badala yake wawe na tabia ya kuweka akiba  ya fedha zao benki.

Waziri Mkuu Majaliwa wakati akizindua Benki ya Posta Mkoani Ruvuma amesema endapo mtu hataweka akiba atashindwa kufanya Mambo ya Maendeleo.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa .Kasimu Majaliwa amesema kuweka Fedha Benki kuna kusaidia kuepukana na wezi, pia kunapunguza...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida

Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.

Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.

Baada ya Serikali kufuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani