Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa mkoa apinga siasa za uhasama

WANANCHI wa mkoa wa kaskazini Uguja wametakiwa kuimarisha amani na utulivu na vijana kuacha kujiingiza katika siasa za ushabiki wa uhasama wa kisiasa ili kutoa nafasi kwa wananchi kushiriki vizuri katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa mkoa atangaza kufuta maadhimisho ya miaka 50 ya mkoa wa singida

Mkoa wa Singida umefuta sherehe za maadhimsho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwake badala yake kiasi cha shilingi milioni 60.6 zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo zitatumika kwa ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali yake ya Rufaa inayoendelea kujengwa.

Lengo la hatua hiyo ni kuunga mkono hatua ya Rais John Magufuli kupunguza sherehe zisizo za lazima na fedha hizo kuelekezwa kwenye shughuli nyingine zenye umuhimu na manufaa zaidi kwa jamii.

Baada ya Serikali kufuta...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

9 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA AGPAHI AAGANA RASMI NA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI), Laurean Bwanakunu aliyekwenda kumuaaga ofisini kwake baada ya Rais Jakaya Kikwete kumteua kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD). (Picha na Francis Dande) Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga akisisitiza jambo....  Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga akifafanua jambo wakati uongozi wa Shirika la AGPAHI ulipomtembelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani