MKUU WA MKOA WA IRINGA AWAPONGEZA WANANCHI WAKE
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt.Christina Ishengoma amewapongeza wananchi wa mkoa huo kwa ushirikiano wao katika shughuli za kujiletea  maendeleo ya kiuchumi na kijamii.  Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dkt.Christina Ishengoma amesema katika kipindi cha mwaka 2013 wananchi wa mkoa wa Iringa wamekuwa wakifanyakazi kwa kujituma na kwa ushirikiano mkubwa. Kwa upande mwingine  ishengoma amewataka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s72-c/MMG24848.jpg)
WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s1600/MMG24848.jpg)
Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
9 years ago
StarTV28 Nov
Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa
Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.
Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BIjxrzCuWio/VNyLgPRUDbI/AAAAAAAAGXY/cAkgel_AFqA/s72-c/IMG_4645.jpg)
MKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA VIONGOZI NA WAJUMBE WA MFUKO WA CHANGAMOTO ZA MILLENIA (MCAT), AWAPONGEZA KWA KAZI NZURI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-BIjxrzCuWio/VNyLgPRUDbI/AAAAAAAAGXY/cAkgel_AFqA/s1600/IMG_4645.jpg)
11 years ago
Michuzishehe mkuu wa mkoa wa iringa marehemu Ally Tagalile azikwa leo
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Pinda katika ziara yake mkoa wa Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015 kuhani msiba wa baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa kuhani Februari 20, 2015.
Waziri Mkuu,...
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...
10 years ago
MichuziMkuu wa wilaya ya Mufindi amewataka wakazi wa mkoa wa Iringa kuwa walinzi namba moja dhidi ya wenyetabia ya kuharibu mazingira
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya habari na mawasiliano ya Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Imetanabasha kuwa, mkuu wa wilaya ameyasema hayo kwenye kilele cha siku ya mazingira duniani yaliyofanyika kimkoa katika kijiji cha Vikula Wilayani Mufindi...