Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mkuu wa mkoa wa kagera Kanali Massawe aishukuru Vodacom kuikomboa Goziba

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe, amezungumzia jinsi ambavyo uboreshawaji wa huduma za mawasiliano zinavyochochea kubadili maisha ya watu kupitia kuboreka kwa shughuli za kiuchumi na kijamii huku akipongeza maamuzi ya kampuni ya Vodacom ya kupelekea mawasiliano kwenye kisiwa cha Goziba kilichopo Ziwa Viktoria eneo la mkoa wa Kagera.  Kanali Masawe, ameyasema hayo wakati alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom jijini Dar es salaam na kukutana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kanali Massawe aita wawekezaji Kagera

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amesema amani na usalama vilivyopo mkoani humo vinachochea uwekezaji wenye tija kwenye maeneo mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC aipongeza Vodacom kuikomboa Goziba

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, ameipongeza Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kupeleka mawasiliano kwenye Kisiwa cha Goziba kilichopo Ziwa Victoria, Mkoa wa Kagera....

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AIKABIDHI NGAO VODACOM TANZANIA

Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw.Magessa mulongo, akimkabidhi ngao Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa kwa kutambua mchango na jitihada za Vodacom kuhakikisha usalama barabarani,ngao hiyo ilikabidhiwa wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani  yamefanyika kitaifa mkoani Arusha,kampuni ya Vodacom ni moja wa wadhamini wakubwa wa wiki ya nenda kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha aikabidhi ngao Vodacom Tanzania kwa kutambua mchango wake kuhakikisha usalama barabarani

Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw.Magessa mulongo, akimkabidhi ngao Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa kwa kutambua mchango na jitihada za Vodacom kuhakikisha usalama barabarani,ngao hiyo ilikabidhiwa wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani yamefanyika kitaifa mkoani Arusha,kampuni ya Vodacom ni moja wa wadhamini wakubwa wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani mwaka huu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AISHUKURU NA KUIPONGEZA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA MWANZA

Kuona jinsi Rais Kikwete alivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KYERWA LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO MKOANI MOROGORO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961

Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20  Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru  wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania  mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya  ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi  tofauti.

Viongozi hao  (Wakuu wa Mkoa)  waliowahi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani