RC aipongeza Vodacom kuikomboa Goziba
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, ameipongeza Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa kupeleka mawasiliano kwenye Kisiwa cha Goziba kilichopo Ziwa Victoria, Mkoa wa Kagera....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w-wpv8rBDU0/U0VUMar3utI/AAAAAAAFZeQ/5XarsWlpYOE/s72-c/unnamed+(35).jpg)
mkuu wa mkoa wa kagera Kanali Massawe aishukuru Vodacom kuikomboa Goziba
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Kimbunga chaua wawili, 30 wajeruhiwa kisiwani Goziba
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pIRF2oTwTNc/U6F71HfCVfI/AAAAAAAFrgM/75fFMB57Hq8/s72-c/unnamed+(17).jpg)
M-Pesa yarejea hewani,Vodacoma yawaomba radhi wateja wake kwa tatizo lililojitokeza
![](http://2.bp.blogspot.com/-pIRF2oTwTNc/U6F71HfCVfI/AAAAAAAFrgM/75fFMB57Hq8/s1600/unnamed+(17).jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuwa huduma hiyo kwa sasa iko imara na kuchukua nafasi hiyo kuwoamba radhi wateja kwa usumbufu walioupata wakati huduma hiyo ilipokosekana.
“Napenda kuwaomba radhi wateja wetu...
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Tunakaribia kuikomboa Ramadi:Iraq
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Iraq yataka kuikomboa Tikrit
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Je, walimu wetu wameandaliwa kuikomboa jamii?
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Majeshi ya Iraq mbioni kuikomboa Tikrit
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Mkutano Imarisha Elimu 2014 wadhamiria kuikomboa Tanzania
FEBRUARI 21 na 22 mwaka huu tukio la kihistoria lilifanyika mkoani Kilimanjaro, ambalo linatarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya elimu nchini. Huo ni Mkutano Imarisha Elimu 2014 uliofanyika ukiwashirikisha...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Sarakikya aainisha mambo sita kuikomboa Arumeru Mashariki
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arumeru, Arusha, William Sarakikya (42), anayeomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa chama hicho Jimbo la Arumeru Mashariki, ameweka hadharani mambo sita ya msingi atakayoyasimamia na kuyatekeleza iwapo wananchi wa jimbo hilo watamchagua.
Sarakikya ni kati ya watia nia kupitia CCM waliojitokeza kuchukua fomu kuwania ubunge jimboni humo anyepewa nafasi kubwa ya kukabiliana na mgombea wa mungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya...